Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatimaye post za walimu za tangazwa leo tar 13.kuripoti tar 1 march.mkafanye kazi na muache ubishoo na maringo.
huyo kwenye avatar ni wewe?jamani, huwa anaanza waziri kusema ndo zinatoka so hope by tommorow morning zitakuwa kwa website ya moevt, na web inafunguka ,....kip on waitning
Yes, yes...! tumesubiri sana hatimaye Waziri mwenye dhamana leo ametangaza kwa mdomo wake. Hii ilikuwa taarifa ya habari TBC leo saa kumi jioni.
Endeleeni kufuatilia taarifa hii leo saa mbili usiku TBC HABARI. Kuripoti ni tarehe 01 March hadi tarehe 09 March. Nimecheki web yao bado ipo suspended domain
hatimaye post za walimu za tangazwa leo tar 13.kuripoti tar 1 march.mkafanye kazi na muache ubishoo na maringo.
Njaa mbaya jamani dah! Hivi nyie si ndio munaoipoda TBC na kuiita TBCCM na mnasema kusikiliza na kuangalia ni janga la kitaifa au? Leo imekuwa mkombozi? "the pumkin in the old homestead must not be uprooted!