J Jerry amon kihundo Member Joined Aug 9, 2013 Posts 5 Reaction score 0 May 20, 2014 #1 naomba kujua,kwa form 5 wa mwaka 2014 kama nataka kuhama shule watakayo nipangia utaratibu ni upi? maana nataka kuhamia shule ya karibu na kwetu ambayo sikujaza awali
naomba kujua,kwa form 5 wa mwaka 2014 kama nataka kuhama shule watakayo nipangia utaratibu ni upi? maana nataka kuhamia shule ya karibu na kwetu ambayo sikujaza awali
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,437 Reaction score 2,043 May 21, 2014 #2 Sasa kama shule unayotaka kuamia ni Mzumbe/Kibaha ! Na wewe ulipata 3 ! Funguka vizuri kiongozi ! Shule ipi uliyo karibu nayo
Sasa kama shule unayotaka kuamia ni Mzumbe/Kibaha ! Na wewe ulipata 3 ! Funguka vizuri kiongozi ! Shule ipi uliyo karibu nayo