Posta Kubadilisha fedha za Kigeni

Kwangu mie yule dogo siyo mzee hivyo nasema hivi time will tell. Wanaomshauri wasiwe kama wale waliokuwa wanamdanganya mwalimu wanapanda migomba barabarani ili akipita asifie kumbe inakauka kabla hajafika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani yule mzee ametoa solution ya kijinga sana kwenye tatizo kubwa mnoo...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Mzee nilimsikiliza, pamoja na mimi ni CCM, ila hoja zake hazikuwa na mashiko, yaani alitamka kisiasa zaidi
sasa hapa ndo ile sentesi "tutakuja elewana tu" inapoleta maana..wacha tuisome namba tu
 
Mabeberu ya mbuzi nini? Siku hizi nasikia mabeberu, mabeberu... hata akina mama wameitwa mabeberu kwa kuwa na mawazo tofauti.
Unaona sasa?Mmeanza kubadilisha maneno ili neno beberu likose maana na uhalisia.Na kuna mkuu mmoja bila aibu eti akaniuliza..."kama wao ni mabeberu na tunawatii,sisi ni mbuzi jinsi gani?"...Alinisikitisha mnoo hadi mapaja yalitetemeka.
 
Haya mambo kupata solution inabdi upunguze mihemko na hisiaa...
Yaani mzee wa Posta anataka kuipangia BoT. BoT yenyewe "inapangiwa". Mnaweza kujidanganya na kuamua "kuuza" dafu lenu kwa bei yoyote ila US$ ya watu mtainunua kwa bei iliyopangwa kwingine. Haya mambo hayahitaji mijiguvu na kutumia jeshi.
 
Posta walioshindwa hata kuendesha Duka la MPESA, Posta ambao zama za TMO ulikuwa unafika unakuta hawana cash, leo hii waweze biashara ya watu wa mjini

Umepaisha memory yangu hadi enzi za kusubiria TMO siku ya alhamis pale shule...... inawezekana wameshatatua zile changamoto ndo maana wanataka waanze miamala na kubadili fedha
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
China wanaexport sana bidhaa kuliko kuimport, na bei za hizo bidhaa wanazishusha sana kiasi kwamba bidhaa za nje ya china zinakuwa so expensive....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China wanaexport sana bidhaa kuliko kuimport, na bei za hizo bidhaa wanazishusha sana kiasi kwamba bidhaa za nje ya china zinakuwa so expensive....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah wenyewe wana manupulate soko kuishusha currency yao anambania soko marekani ambaye $ ipo juu sio kama wanavyotaka kufanya huku kwetu kwa kupanga kama matofari
 
Posta walioshindwa hata kuendesha Duka la MPESA, Posta ambao zama za TMO ulikuwa unafika unakuta hawana cash, leo hii waweze biashara ya watu wa mjini

Usipate shida tutapiga pini hizo Mpesa,Tigo Pesa, Aitelmoney nk. zifanyike posta tu! Problem solved.
 
Kwani raisi haruhusiwi kujiuzulu? Magu nchi imemshnda ajiuzulu kwa faida ya nchi
Wakati anawazia kuwa watanzania wanapenda saaana watamuongezea muda wa uraisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wkt wengine tunaomba muda uishe atuondokee[emoji58][emoji58][emoji58][emoji849][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi inaonekana wewe unapenda wale wa jinsia moja;-).
Nimejitahidi kukujibu kwa tahadhari na staha lakini umekuwa mjinga sana.Mimi ni sawa na baba yako pakashume weye!Kwa hiyo baba yako anapenda watu wa jinsi yake wakati mama yako anachambua dengu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…