rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani yule mzee ametoa solution ya kijinga sana kwenye tatizo kubwa mnoo...!!Kwangu mie yule dogo siyo mzee hivyo nasema hivi time will tell. Wanaomshauri wasiwe kama wale waliokuwa wanamdanganya mwalimu wanapanda migomba barabarani ili akipita asifie kumbe inakauka kabla hajafika.
Sent using Jamii Forums mobile app