Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Nimejitahidi kukujibu kwa tahadhari na staha lakini umekuwa mjinga sana.Mimi ni sawa na baba yako pakashume weye!Kwa hiyo baba yako anapenda watu wa jinsi yake wakati mama yako anachambua dengu?
You better go and do some jokes with your mama!Stupid!Mkidekezwa ujinga mtaweka vidole makalioni.Go to hell!Matatizo ya wabongo haya ya kutokujua kusoma haya. Maana ya ;-) ni JOKE.
China China China Hatuwezi kuwa wachina sisi !!. Kwa nidhamu ipi hiyo ?!.[emoji2][emoji2][emoji2]hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
U communist hauwezi kututoa mrisi !! Nchi zote za ki communist ni failures wa uchumi wa wananchi. Inabaki tambo tu za serikali , kiuchumi ni zeroMleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
You beberuzz,will never intimidate us,the communists!Usitutishe.Tukikaa meza moja na kukubaliana kuwauzia makinikia kwa bei nzuri nasi tunaweza kuwa "dona-kantle"! CCM hoyeee!Leo sijui nimevuta bange!?Naitetea CCM kuanzia asubuhi.U communist hauwezi kututoa mrisi !! Nchi zote za ki communist ni failures wa uchumi wa wananchi. Inabaki tambo tu za serikali , kiuchumi ni zero
Sent using Jamii Forums mobile app
You better go and do some jokes with your mama!Stupid!Mkidekezwa ujinga mtaweka vidole makalioni.Go to hell!
Childish encounter! Fanya yako aisee!Mambo makubwa yanisumbue,na weye?Mbona kidole changu unatembea nacho hapo makalioni? Tena kimepakwa grisi?
Childish encounter! Fanya yako aisee!Mambo makubwa yanisumbue,na weye?
Lazima niache ujinga.Nina mtihani wa kufaulu vijana waishi.Sasa nikijitwisha hayo mengine ntaonekana baradhuli.Kama umechoka kama mimi. Basi tunyamaze...
Labda wanataka tumfanya awe wa milele ndio maana kila mfano ni ukouko.China China China Hatuwezi kuwa wachina sisi !!. Kwa nidhamu ipi hiyo ?!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima niache ujinga.Nina mtihani wa kufaulu vijana waishi.Sasa nikijitwisha hayo mengine ntaonekana baradhuli.
I always do some exams,fella,!After all,I'm a student of life.Forever and always doing some!Mtihani mwema. Mtihani wa mwisho nilifanya 2008.
Mtaita kila mwenye mawazo tofauti ni BEBERU !!.Anzia kaskazini, mashariki, kusini na magharibi uone kama u communist umewahi kufaulu ?!. Ni aina fulani ya udictator wa ama chama au mtu. Ni wazuri wa kutumia lugha za kizalendo, lakini isiyo ya uhalisia eg Tanzania viongozi wanahubiri uzalendo huku wakiuza rasilimali za nchi kwa hao unaowaita mabeberu.You beberuzz,will never intimidate us,the communists!Usitutishe.Tukikaa meza moja na kukubaliana kuwauzia makinikia kwa bei nzuri nasi tunaweza kuwa "dona-kantle"! CCM hoyeee!Leo sijui nimevuta bange!?Naitetea CCM kuanzia asubuhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inabdi atumie jeshi kabisa kuzuia...!!acha ujinga wewe serikali inapambana kuzuia thamani ya shilingi isishuke we unaleta ujinga wako huku