Posta Kubadilisha fedha za Kigeni

Posta Kubadilisha fedha za Kigeni

Matatizo ya wabongo haya ya kutokujua kusoma haya. Maana ya ;-) ni JOKE.
Nimejitahidi kukujibu kwa tahadhari na staha lakini umekuwa mjinga sana.Mimi ni sawa na baba yako pakashume weye!Kwa hiyo baba yako anapenda watu wa jinsi yake wakati mama yako anachambua dengu?
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
China China China Hatuwezi kuwa wachina sisi !!. Kwa nidhamu ipi hiyo ?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
U communist hauwezi kututoa mrisi !! Nchi zote za ki communist ni failures wa uchumi wa wananchi. Inabaki tambo tu za serikali , kiuchumi ni zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U communist hauwezi kututoa mrisi !! Nchi zote za ki communist ni failures wa uchumi wa wananchi. Inabaki tambo tu za serikali , kiuchumi ni zero

Sent using Jamii Forums mobile app
You beberuzz,will never intimidate us,the communists!Usitutishe.Tukikaa meza moja na kukubaliana kuwauzia makinikia kwa bei nzuri nasi tunaweza kuwa "dona-kantle"! CCM hoyeee!Leo sijui nimevuta bange!?Naitetea CCM kuanzia asubuhi.
 
Mtaita kila mwenye mawazo tofauti ni BEBERU !!.Anzia kaskazini, mashariki, kusini na magharibi uone kama u communist umewahi kufaulu ?!. Ni aina fulani ya udictator wa ama chama au mtu. Ni wazuri wa kutumia lugha za kizalendo, lakini isiyo ya uhalisia eg Tanzania viongozi wanahubiri uzalendo huku wakiuza rasilimali za nchi kwa hao unaowaita mabeberu.

Dola kama hatuna cha kuuza nje kama sasa fedha yetu lazima iendelee kushuka. Makinikia, samaki, madini Gas na mafuta zinauzwa huko nje na mabeberu hao. Mkiwababaisha na dola haziji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha ujinga wewe serikali inapambana kuzuia thamani ya shilingi isishuke we unaleta ujinga wako huku
 
Back
Top Bottom