Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
ukiona ufisadi kwenye ofisi yenu usiseme hadharani na hata kama umeshindwa kuwasilisha kwenye vyombo husika kwa sababuu za kuhofia kibarua chako; na kwa vile Tanzania hatuna sheria ya kuwakinga wanaotoa habari za ufisadi basi watu hawa kuanzia sasa wanatakiwa wakae kimya na wasitoe habari hizo kwa umma; wajaribu kumalizana kimya kimya.. vinginevyo wajiandae kwa retaliation..
nafikiri kama kulikuwa na tuhuma basi kulikuwa na sehemu nzuri zaidi ya kupeleka hizo tuhuma kabla hazijaenda public, ona sasa kibarua kimeota nyasi !
Toba!😱 Sasa barua zangu itakuwaje...tehe si ndio basi.
Toba!😱 Sasa barua zangu itakuwaje...tehe si ndio basi. Eti waliotimuliwa wametumia P.O Box ya JamboForums? au?
labda yeye anataka uozo ufumbiwe macho kwa sababu ya kibarua tu...
Wewe Kada inaonekana uko tayari kuficha uvundo katika system alimradi tu kibarua chako kinastawi.....
bimdogo, achana naye huyo.. hastahili! mwache atafute vichuguu.. wewe mlima wangu..!
bimdogo, achana naye huyo.. hastahili! mwache atafute vichuguu.. wewe mlima wangu..!
Asante Mkjj,
Juhudi zake za kutaka kubadili mada zimekuwa ignored rasmi for now!
....okay, you don't have to worry about any injustice and the need to bust it. That's you and that's fine. It is so unfortunately or should I say fortunately, Africa is cluttered or should i say blessed by many like you. Live in peace!!TO BE HONEST WITH YOU, ABSOLUTELY NINGEFANYA HIVYO !
Hey, as long as am getting mine, what do i have to worry about ?
....okay, you don't have to worry about any injustice and the need to bust it. That's you and that's fine. It is so unfortunately or should I say fortunately, Africa is cluttered or should i say blessed by many like you. Live in peace!!
.... ha ha, tumia PM au email, ukishindwa hivo zitundike kwenye globu ya kaka Michuzi ........ 😀