Corporate Governance katika Tanzania bado ni very, very weak.
Bodi (BoD)haziwajibiki kwa ye yote na kwa lolote. Bodi hizi ni sehemu ya kulipiana fadhila na sehemu ya kuwaweka wastaafu wa chama, majeshi na serikali. Bodi nyingi kutokana na muundo wake, hazina uwezo au upeo wa kuelewa ni nini kinachokuwa presented by management. Matokeo yake ni kukubaliana 100% na maoni pamoja na matakwa ya hiyo menejimenti wanayotakiwa ku-imonitor. Kutokana na hilo, ikitokea menejimenti ni ya kifisadi, Bodi inakuwa ni chombo tu cha utekelezaji wa malengo hayo.
Hii inasababisha kupotea kwa tofauti kati ya Bodi (as Principal) ambayo inawakilisha shareholders na menejimenti (as agent) iliyowekwa na Bodi kwa niaba ya shareholders.