Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.
Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.
Waafrika ndivyo tulivyo!
Samahani kwa niliowakwaza.
Kwa kweli bro umenikwaza, anyway nakaza buti tuendelee mbele....ninaaamini tuna watu wenye mitizamo tofauti na kama wakiwapewa nafasi I believe kutakuwa na mabadiliko...ukisema kama ndo tulivyo ni dalili ya kukata tamaaa na theres no signs of light at the end of the tunnel...
Ushirombo,
Utawezaje kbadili mambo kama umezungukwa na "watu wenye fedha nyingi kuliko serikali (labda)" - Pinda
Utawezaje kuondoa system yote? maana yote haifai. Uongozi unahitaji ushirikiano, wakati wewe unania nzuri wenzako wanajilimbikizia!
Nahisi umeelewa
..... hapo juu nasikia mawimbi ya sauti za watu waliokata tamaa kama si kuridhika!!
.....ndugu zangu, system huweza kubadilika; as always, kubadili system is a hardwork. there are stumbling blocks and resistance. But it's our determination that counts.
.....hapo kwa majirani si mmeona?.... bila determination ya ODM unafikiri leo kungekuwepo na muafaka uliofikiwa?.... ndiyo watu wamepoteza maisha, lakini kwa maafikiano yaliyopo sasa na kama yataendelea na kuwa ya kufaa Kenya, basi damu zao zitakuwa hazijamwagika bure. Mfano wa Kenya ni changamoto kubwa kwa muafaka wa Visiwani na kule Zimbambwe hivi sasa...
.....hakika bila watu kuamini kuwa mabadiliko yanawezekana na yanahitajika, ni mwanzo mkubwa wa kukata tamaa na kuacha mambo yajiendee kiholela kwa gharama za utu wetu wote huku wengine wakijiridhisha.
.... FD, KadaMpinzani, et al... change is a must and change we need. Preferably si kwa vita!!
SteveD.
Steve....., hapo tupo pamoja lakini kwangu ni kuwa lazima tukubali kupambana kimaneno na kujaribu kuwabadilisha waTanzania wenzetu. Kuna thread nilisema "Najilaumu mimi kuona kwamba baada ya kujua nikijuacho nimefanya nini kuwasaidia wengine nao wajue"..... hapa tatizo ni "Je tutaendelea na haya mapambano ya kifikra mpaka lini?? na ikifika deadline ya mapambano ya kifikra je what will be our next option??"
....our next option?.....seems a very tough question since the preferable option is to having principles, urges and their course of action taking place simultaneously.Steve....., hapo tupo pamoja lakini kwangu ni kuwa lazima tukubali kupambana kimaneno na kujaribu kuwabadilisha waTanzania wenzetu. Kuna thread nilisema "Najilaumu mimi kuona kwamba baada ya kujua nikijuacho nimefanya nini kuwasaidia wengine nao wajue"..... hapa tatizo ni "Je tutaendelea na haya mapambano ya kifikra mpaka lini?? na ikifika deadline ya mapambano ya kifikra je what will be our next option??"
FD......... kuna neno shari uking'amua na kuweza kulichomeka sehemu yoyote katika sentensi yako hapo juu utakuwa umepata upande wa pili wa shillingi !!!! lolSteveD
Haya bwana mimi nina subira sana, sina ukomo wa kupambana kifikra, wasiwasi wangu ni kwa wale wasio na subira.
SteveD
Haya bwana mimi nina subira sana, sina ukomo wa kupambana kifikra, wasiwasi wangu ni kwa wale wasio na subira.
Maendeleo mengine ni ugunduzi wa Njama zinazofanywa kwa ushirikiano wa Mdada aliyeajiriwa TPB akitokea Vodacom na mmoja wa Maafisa wa Ikulu na Polisi Mmoja hivi kupata nakala toka mitandao ya cm kwa simu za TPB staff ili waweze kutrack mawasiliano ya watu wanaojaribu kusema ukweli.
Asnte kwa taarifa hizi,
Mkuu FMES ,Mzee Mwanakijiji,Mwafrika wa kike na GT kuna suala muda mrefu nimetaka kulizungumzia ila nadhani huu ni wakati wa kulisemea,ni hii tabia ya makampuni ya Simu kutoa Siri za watu hasa maongezi na sms kwa watu wa Usalama,wanasikiliza kila kitu kinachoongewa na simu na kupeleka kwa wakubwa.
hii ni tahadhali kwa wale ambao hamtumii thuraya kwa mazungumzo ya siri.Na ni majuzi tu hapa Manji ameajiri vijana wengi toka kampuni moja ya simu na anawalipa mishahara mikubwa na haijulikani wanafanya kazi gani coz inasemekana ni wataalam wa masuala ya mawasiliano.
nimetoa angalizo.hasa kwa wale mnaotumia internet ya makampuni ya Simu coz wanatrack everything you post hii in Jf kuangalia website gani mnazotumia.wana Id ya kila Mteja.na hii inawezekana has kwa kampuni moja ambayo inatumia WIMAX technology.
Kazi kwenu,na habari ndiyo hiyo!!