King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Shule ya Brock Lesnar nini! [emoji23]"Eat,Sleep,Suplex,Repeat"
πππ na nderemo sisi tulikia enzi ya mama nkya na SemkiwaTamkaa maneno machache..yaliyo na hekima na busaraa...tunamalizia na makofiππ
Ilikua Raha Sana hasa assemble kuu ya alhamisi..Mimi enzi za mama mabula akatolewa akaletwa ndosi baadae akarudishwa mabula tukamaliza na huyo..msaidizi alikua mama luteganya..mama nkya mama wa makeleleππππππππ na nderemo sisi tulikia enzi ya mama nkya na Semkiwa