999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 758
- 1,372
Kitambo na hicho enzi zetu, kama hauna saa, ukitembea kuanzia mitaa ya k/Koo Hadi fire, ukaziona sket za pinki (hata moja) unajua Leo mwamba nimewahi shuleJangwani mdogo wangu..binti wa mama mabula😍
Tosamaganga hiyo alooo nilikuwepo pale 2000 - 2006
Hahaha 🤣😆Mungu nisamehe nilikuwa boya
Yes..!!! Sijui kama ule ukumbi wa disco underground uliishaKwenye mijengo ya mrusi
Kama chama cha ukombozi vile🤣🤣Education is Liberation.
Our motto liberation, education we get should liberate us, Wito wetu ni ukombozi, elimu tupatayo itukomboe.
Brotherhood, self determination and academic exellence
Tazama Mbali Zaidi😊
Scandia, Kibo, Pangani, Nyanza?Struggle for success
YeahWee hiyo sio Songea Girls? Kweli?
Hapo sawaaa!!Yeah
Huu moto wa moto[emoji3][emoji3][emoji3]"Education is better than money"
Mbije alikuwa class A nadhani! Mi nilikuwa class B na kina bolibo , stanley ngowi.ali hamisi, salum ally n.kUnamkumbuka Frank Mbije na Amon dogo mmoja mpole sana
Amon akinipeleka sinagogi kule aloo, nadhani atakuwa bado ni mpole na muadilifu sana mpaka sasa! Amon mwakalingaUnamkumbuka Frank Mbije na Amon dogo mmoja mpole sana
Cheers!..Maza alikua mtata flan hivi🤣Cheers mwana WuTamba mwenzangu...
Mama AY alipambana sana kuturekebisha na kutunyoosha...
Enzi za Azajangwa Vs Tambazana... 🔥
Ilboru sec