CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii tech ya wapi sio ya pale lumbila[emoji1]
Wanangu wa ifunda techSkill and efficiency
Mwanangu chabruma, milambo, mkwawa au seuta?Wanangu wa ifunda tech
RUNGWE HAPA.
Vijana wa mbwanji ( mbwax)RUNGWE HAPA.
Imefanana na Same secondaryNaanza na Mimi "Education, Discipline, Self-reliance"
Chabu F4Mwanangu chabruma, milambo, mkwawa au seuta?
Ulisoma shule za wazazi nini?"ccm mbele kwa mbele"
"kidumu chama mpaka kiwe pipa"
Struggle and knowledge is the way to successNaanza na Mimi "Education, Discipline, Self-reliance"
Meta nanchacha mnyambe hiyoMeta humetameta kwa juhudi na maarifa
Aisee usinikumbushe maswala ya kufyatua tofari 🤣Meta humetameta kwa juhudi na maarifa