Wengine wanasema mpaka mwezi wa 6 bt bado tupo njia panda ukizingatia nyumbani tushakuwa bored. Baci mwenye habari zaidi atujuze.
Ahsante mdau bt mwez wa 7 ndo skonga en post huwa zinatoka be4 ya mwez 7.
Umeongea point mdau.Mkuu nakushaur tumia mda huu kufanya mambo ya msing..mfan kusom tuition angalau uanz kupat pich jinc A-level ilivyo.
Pia wawez jifunz driving upate lesen yako..hii itakuasaidia badae.
Kiliko kikaa nyumban na kusubir post...