Posts za A-level zitatoka lini?

Posts za A-level zitatoka lini?

Selikali Itoe Mapema Maana Kunawatu Mwaka Jana Walikomaa Na Tuition Lakn Post Zikaja Ndivyo Sivyo Mfano Kunajamaa Anaitwa Samweli Mboje Alikomaa Na PCB Akaja Amechaguliwa HGK wakati katika masomo ya sayansi alikuwa kafanya vizur! Hivyo zitolewe mapema kuepusha gharama na usumbufu! Mm mwemyewe hapa nasoma kwa machale2 maana ninazaidi ya comb5 zilizobalance vizur
 
basi ili usijuie we soma BAM na GS, kama science umekunja vizuri soma Physics na Chemistry kwa vile zipo kwenye comb nyingi.
 
Selikali Itoe Mapema Maana Kunawatu Mwaka Jana Walikomaa Na Tuition Lakn Post Zikaja Ndivyo Sivyo Mfano Kunajamaa Anaitwa Samweli Mboje Alikomaa Na PCB Akaja Amechaguliwa HGK wakati katika masomo ya sayansi alikuwa kafanya vizur! Hivyo zitolewe mapema kuepusha gharama na usumbufu! Mm mwemyewe hapa nasoma kwa machale2 maana ninazaidi ya comb5 zilizobalance vizur
Kwel mkuu bora wayatoe mwez huu kwan walimu washaajiriwa.
 
Back
Top Bottom