JOMAKIBU
JF-Expert Member
- Apr 18, 2015
- 538
- 70
Selikali Itoe Mapema Maana Kunawatu Mwaka Jana Walikomaa Na Tuition Lakn Post Zikaja Ndivyo Sivyo Mfano Kunajamaa Anaitwa Samweli Mboje Alikomaa Na PCB Akaja Amechaguliwa HGK wakati katika masomo ya sayansi alikuwa kafanya vizur! Hivyo zitolewe mapema kuepusha gharama na usumbufu! Mm mwemyewe hapa nasoma kwa machale2 maana ninazaidi ya comb5 zilizobalance vizur