Posts za diploma afya

Posts za diploma afya

zee la weza

Senior Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
190
Reaction score
29
Wadau naomba kujuzwa kama majina ya diploma in nursing, clinical officer selikalini kama yalishatoka, plz naomba nijuzwe,npo serious, nina mdogo wangu yupo kitaa ila aliomba.
 
nenda kwenye tovuti za wizara pia soma magazeti
 
huko kitaa anapaonaje, kwanini asiendelee kukaa hukohuko!!
 
Kweli nimeamini nchi imeuzwa.!e Bwana tuokoe..yani hadi leo wizara ya afya haijaeleweka!
 
aaa wapi!jokes tu!si kweli kaka..yangetoka tayari ningeyapata fasta.
 
Hivi wizara ya afya ipo maeneo ya wapi?Nahic nikienda kuwauliza kulikoni watakuwa na majibu ya uhakika kuliko tetesi tetesi za kila leo.Anaepajua anielekeze ili kesho niende
 
Kama umeweza kuingia jf iweje ushindwe kufungua na kucheki kwenye website ya wizara ya afya?
 
Kweli nimeamini wizara ya afya inachakachua majina.Yan hadi leo tar. 13 kesho vyuo vitafunguliwa?
 
Back
Top Bottom