P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,155 Reaction score 445 Aug 2, 2012 #1 Hi Wana jamvi, nimeperuzi website ya ministry of education na kutazama post za ualimu! Wapo wengi ambao majina hayaonekani/hawakuchaguliwa. Je, kuna utaratibu wa second selection?
Hi Wana jamvi, nimeperuzi website ya ministry of education na kutazama post za ualimu! Wapo wengi ambao majina hayaonekani/hawakuchaguliwa. Je, kuna utaratibu wa second selection?
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Aug 2, 2012 #2 ni kweli, kuna dogo hapa kitaa kaachwa ana point 26 kaachwa wenye 28 wengi wametoka
MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Aug 2, 2012 #3 KAMA UNATAKA DIP ni PM, Ila kama ni grade A sahau. hata hiyo second sidhani ila kama wataka kusoma dip nipm
KAMA UNATAKA DIP ni PM, Ila kama ni grade A sahau. hata hiyo second sidhani ila kama wataka kusoma dip nipm