(potentially) Majo Gold Discovery in Western Kenya

Hebu tujikumbushe kidogo Turkana kuna nini tena, Mafuta mengi maji mwengi ya akiba, ardhi kubwa, na watu. Hizi doti nizaunganika haziunganiniki?

Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...
 
Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...
Kama meno ya simba yanaleta pesa tatizo liko wapi hapo? Hivi kuna kitu wakenya waacha kuuza nje kama kina leta pesa? Wakati wa Moi Kenyamlisafirisha mpaka udongo kwenda Europe. Nakosea?
 
Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...
thihihihi
 
Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...

Lool! Wah! Leo mko wembe kali
 
Tehehehee.... Mluo ni Mkenya tu kama mimi? Vipi bado mnakimbizwa Mozambique?? Mlipeleka uchawi kule? ?

"I have the right to remain silent. Anything I say can and will be used against me in a court of law. I have the right to have an attorney present during questioning. If I cannot afford an attorney, one will be appointed for me"
 
Western ndiyo wanatoka kundi gani? Wakalenjili, Wajaluo au?
 
We acha tu Mkuu hawa wahuni wa MACCM wamesaini mikataba ya kifisadi ambayo iliwanufaisha wao na hao wawekezaji.

Kuanzia fisadi Mkapa na fisadi Kikwete hadi hii leo details za mikataba zimekuwa ni siri kubwa sana hata mikataba ya gesi nayo ni hovyo tu.

Nakumbuka 2002 Wabunge wa CCM walichachamaa sana kutaka kuiona mikataba ya uchimbaji dhahabu.

Fisadi Mkapa ikabidi afunge safari kwenda Dodoma na kufanya kikao cha siri na Wabunge wa MACCM. Kilichozungumzwa kwenye kikao kile hadi hii leo hakijulikani na baada ya kikao kile Wabunge wa maccm hawakuendelea tena kuchachamaa ili mikataba ipelekwe Bungeni.

Lakini tuwe makini tusiishie kubaki na mahandaki matupu kama jirani zetu.
 
Acha kulia lia mwanaume wewe, mbona umeshindwa kuwataja Sumaye na Lowasa hapo, unafiki utakuua.
 
Confirmed now, the reserves are big!! Was in the media in the morning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…