Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
[emoji23] [emoji23] unajuwa ukiwa mluo hutakiwi kusema kabisa haya mambo.Sawa tumekusikia babuye govi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] unajuwa ukiwa mluo hutakiwi kusema kabisa haya mambo.Sawa tumekusikia babuye govi.
Hebu tujikumbushe kidogo Turkana kuna nini tena, Mafuta mengi maji mwengi ya akiba, ardhi kubwa, na watu. Hizi doti nizaunganika haziunganiniki?
Sijuwi mkimaliza kuchimba mahandaki yenu mtajenga swimming pool juu yake. Au mtaleta mchanga wa Turkana kuyafukia?
Kama meno ya simba yanaleta pesa tatizo liko wapi hapo? Hivi kuna kitu wakenya waacha kuuza nje kama kina leta pesa? Wakati wa Moi Kenyamlisafirisha mpaka udongo kwenda Europe. Nakosea?Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...
Sawa, lakini mfanye haraka kabla sisi wenyewe hatujamaliza hiyo milima.Tutachukua toka milima ya Mwanza tufanyie landscaping hiyo ni 2090 sababu ni nyingi
Vyote hivyo vimegunduliwa na havijaanza kutumika, subiri baada ya hapo ndio uongee, sio kama kwenu mumesafirisha hadi meno ya simba kwa kutumia ndege...
[emoji23] [emoji23] unajuwa ukiwa mluo hutakiwi kusema kabisa haya mambo.
Tehehehee.... Mluo ni Mkenya tu kama mimi? Vipi bado mnakimbizwa Mozambique?? Mlipeleka uchawi kule? ?
UK-based Acacia Mining has announced a “major” gold find at its mines in Western Kenya.
The firm has been prospecting for gold in Kisumu and Siaya counties, where it said it had struck gold.
Chief Executive Brad Gordon said the company would give a detailed report on the gold resources found in the region before the end of this quarter.
“We continued to invest into our exploration portfolio and are poised to announce a maiden resource on the West Kenya project, in which we strategically increased our interest to 100 per cent in 2016,” said Mr Gordon in a Tuesday update to investors on the firm’s performance last year.
Preliminary studies show the area has up to one million ounces of gold, with a grade of around 10 grammes per tonne of gold.
This is fairly high, considering the highest gold in the world has a grade of about 14 grammes per tonnne of gold, which is from a South African mine.
The firm, which has operations in neighbouring Tanzania, Burkina Faso and Mali, bought out its joint venture partner in the Western Kenya mines in August last year at a cost of Sh503 million. Lonmin held a 49 per cent stake in two mining licences in the area
See Also: Former UFC champion Brock Lesnar retires from mixed martial arts
“Following the completion of the agreement, Acacia has full exposure to an exciting and highly prospective land package in Kenya, including our most advanced project, the Liranda Corridor,” said Mr Gordon.
“Acacia continues to intersect high grade gold zones at the Bushiangala and Acacia prospects along the Liranda Corridor where drilling indicates the potential for a new gold camp.”
Acacia towards end of last year said it had bumped up the money it is would be spending in Kenya in the exploration and production of Gold.
The firm plans to spend Sh1.2 billion this year as it works towards starting gold production as well as intensify the search for more resources in the region. “In 2017, we have increased the budget for the project to $12 million (Sh1.2 billion), which is primarily designed to scope out the size of the existing shoots (lateral and depth extensions), and to infill gaps between holes in order to increase the scale and confidence of the resource as we move through the year,” said Gordon.
“We also plan to test further potential shoots within the Liranda Corridor along strike to the east. Further to this, we will undertake regional programmes across the broader 1,600 square kilometre licence area.”
------
How I wish this was a kenyan company that discovered the gold
Boost as UK firm makes major gold find in its Western Kenya mines
Lakini tuwe makini tusiishie kubaki na mahandaki matupu kama jirani zetu.
Acha kulia lia mwanaume wewe, mbona umeshindwa kuwataja Sumaye na Lowasa hapo, unafiki utakuua.We acha tu Mkuu hawa wahuni wa MACCM wamesaini mikataba ya kifisadi ambayo iliwanufaisha wao na hao wawekezaji.
Kuanzia fisadi Mkapa na fisadi Kikwete hadi hii leo details za mikataba zimekuwa ni siri kubwa sana hata mikataba ya gesi nayo ni hovyo tu.
Nakumbuka 2002 Wabunge wa CCM walichachamaa sana kutaka kuiona mikataba ya uchimbaji dhahabu.
Fisadi Mkapa ikabidi afunge safari kwenda Dodoma na kufanya kikao cha siri na Wabunge wa MACCM. Kilichozungumzwa kwenye kikao kile hadi hii leo hakijulikani na baada ya kikao kile Wabunge wa maccm hawakuendelea tena kuchachamaa ili mikataba ipelekwe Bungeni.
Confirmed now, the reserves are big!! Was in the media in the morning
Ukabila taratibu unajipenyeza Tanzania. Whispers speak of direct beneficiaries.wewe kama mtanzania ambaye hana ukabila, hio haifai kua shida yako
Western ndiyo wanatoka kundi gani? Wakalenjili, Wajaluo au?