Pound For Pound Boxer Ranking (Tanzania)

Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.
Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao.
Hivi kudhamini fight inakuaje...??
Process zake
Unapataje hela?
Mshindi anapataje hela?
Nk

Inshort napenda kujua hii kitu...maana niko empty kabisa
 
Mwakinyo na kiduku kwangu Mimi ndio Bora , hao wengine bado
 
Matokeo vip huko?

Mfaume Mfaume Vs Chikondo

Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga

Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…