screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
NdioHuyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHuyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea.
Hivi kudhamini fight inakuaje...??Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.
Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao.
Toka nimetazama Salama na Mwakinyo, nilimwelewa sana huyu mwamba na yuko focused anajua anachofanyaMwakinyo na kiduku kwangu Mimi ndio Bora , hao wengine bado