Pound For Pound Boxer Ranking (Tanzania)

Pound For Pound Boxer Ranking (Tanzania)

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
.
 

Attachments

  • Screenshot_20201121-180152.jpg
    Screenshot_20201121-180152.jpg
    38.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20201121-180325.jpg
    Screenshot_20201121-180325.jpg
    44.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201121-180523.jpg
    Screenshot_20201121-180523.jpg
    38.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-180642.jpg
    Screenshot_20201121-180642.jpg
    60.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-180810.jpg
    Screenshot_20201121-180810.jpg
    38.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201121-181257.jpg
    Screenshot_20201121-181257.jpg
    46.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-181053.jpg
    Screenshot_20201121-181053.jpg
    59.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-181454.jpg
    Screenshot_20201121-181454.jpg
    37.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201121-181635.jpg
    Screenshot_20201121-181635.jpg
    56.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20201121-181957.jpg
    Screenshot_20201121-181957.jpg
    30 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-182111.jpg
    Screenshot_20201121-182111.jpg
    49.3 KB · Views: 3
Hii list sio haba ila ni vizuri zaidi kama ungeainisha wenye uzito unaofanana ingawa umeelezea hapo juu kinagaubana,
Binafsi hapo anaanza Class anafuata Mwakinyo
 
kwa rekodi halisi ya mwezi uluopita anaanza class mawe, nahis mwakinyo atafuata, mfaume, twaha, dullah,tony, (kuanzia wa pili n muono wangu)
 
Huyo alochora tattoo mpaka usoni anaitwa nan?
 
Siwajui sana mabondia wa kibongo, ila kuna mtu anaitwa Iddi Pialari unamjua?
Simpati ila nimeona Kuna sehemu Kuna pambano kati yake na Tinampay.
Sijajua kama ni official fight ama lah
 
Siwajui sana mabondia wa kibongo, ila kuna mtu anaitwa Iddi Pialari unamjua?
Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.
Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao.
 
Jarmell charlo unamjua uyu mtu
Nauwakika siku mwakinyo akikanyag huu moto anapasuka taya
 
Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.
Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao.
Inahitaji moyo kuwekeza kwenye boxing bongo, kurudisha pesa ni bahati sana. Atleast Mwakinyo ana potential ya kupiga hela kama ataendelea kufanya vizuri kwa miaka kama mitatu mingine
 
Huyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea.
 
Back
Top Bottom