POV: Kama Internet isingezimwa Oktoba 29 tungezungumza mengine

POV: Kama Internet isingezimwa Oktoba 29 tungezungumza mengine

KingGuaje

Senior Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
149
Reaction score
280
Wasalam,
Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa trending ile kama sio serikali kuzima internet tungezungumza mengine. Kukatwa kwa internet kuliwaathiri sana GEN Z

Nawasilisha
 
Shida haikua Internent, Shida ilikua Janja Weed, Hatuku expect kukutana na Janja Weed. So ikabidi tu retreat kwanza ili kujipanga upya
 
Back
Top Bottom