Ndio maana kwa wenzetu mabadiliko bila ya kuzishirikisha taasisi zinazosimamia hayo mabadiliko ni kitu ambacho hakipo, sasa kama tunadai tunamakarabasha ya mapendekezo pengine kuishinda dunia (which i think it is a fantasy maana last i checked UK alone had over 500 registered quango's these people are paid to scrutinize and write policies only and they do so every year, kuna wizara policies researchers they do the same, business groups and many other registered and unregistered groups all doing the same thing and this is a small country huko China au US kwenye heavy lobbyist naona watakua namilima sasa ya makarabasha) back to your argument, tatizo hao ma-expert wenyewe wakuweza kutoa upande mmbovu wa sera zilizopo ndio hao wengi wameamua kuuza utu wao, na wakipewa usimamizi unajuwa what will follow.
May be it is about time we opened more channels to capitalism and pay for the experts services in securing better policy deals from the government. Maana kuna hawa jamaa wanao represent interests groups kwenye jamii za wazungu, hawa si lazima kila mtu ajue kila kitu kwenye jamii. Mfano kundi la wakulima litafanya research za wakulima matatizo yao, urahisi wao kuuza bidhaa zao (in short all the business aspects of farming from the soil to the shop or even your dinner table), sasa kama wakiona sijui unaleta mahindi kutoka malawi wakati kuna watu wanalima mahindi yanaoza ujue huo moto wao si mdogo, au labda unakuja na tax za mafuta za kishamba shamba. Wao ujue wataita maandamano, wataandika ma-articles kwenye national circulated papers and all the stress 'you can think off' kwa muusika mkuu wa hiyo wizara hili kujaribu kubadilisha namna ya kufanya vitu kwa advantage ya mkulima.
Kwa maana hiyo licha tu ya kupigia kura sera wakati wa campaign, wazungu wameshajua kuna watu huko kwingine all they care about is their welfare, and they can make unwanted candidates in the wider bussiness world win the election. Therefore methods za pressure groups/lobbyist are becoming very popular in advancing interest groups courses. Kuanzia elimu, social issues such morals, housing, welfare, na nyanja nyingine unazozifikiria etc, etc lakini ujue hadi unafika kwenye well funded groups zinazolinda maslahi ya bussiness world ujue mtu kama Mkullo dunia ya wenzetu angekuwa hana kazi looongi, kwa sera zake kwa mbovu mno.
Kwanza mimi sijawahi kusikia hata siku moja au niseme kusoma hata siku moja sera yeyote ya CCM yenye long term strategy kwa maana hiyo everything they do will be kibovu. Embu mtu ajaribu kuuliza after mkukuta twins, imekuja five years plan which I was a fun i have to admit, hile hilikuwa na targets za namba watu waulizie tu what percentage of that has been accomplished or even just what are the updates on some of the proposed areas. Ndio ujue commitment amna. Kibaya hapa jamii bado hiko ina angaika na watu kama kina sitta na lowassa, wakati kuna uzembe wa hali ya juu kwingine sisi tuna angaika na mafisadi even kuwazungumzia kuwapa uraisi wa nchi yetu yenye matatizo chungu. Pengine Sitta na Lowassa na makundi yao wote lao moja, kututoa kwenye serious descussion na kuanza kuangalia vijibillion walivyozidiana kwenye wizi.
Lakini ukweli wenyewe report nyingine tena imetoka ya CAG kuna mabillion missing. Mbona huyo Sitta na Mwakyembe hawatafuti wezi wengine. Its about time we get things right kwa kweli hawa wanasiasa wa sasa wengi si makini na ni wa sanii tuu.
Unajua hakuna sekta ngumu kuijadili kama elimu, tukisema tuangalie welfare za wanafunzi in terms of majengo na madawati, morale za walimu kutokana na mishahara yes we can make an attempt of the debate. Lakini kama ni kutaka kujua quality of education offered hapa inataka serious expertise na watu wenye kuweza kuchambua huwezo wa syllabuses na faida zake baada ya masomo, hila kama huko interest na hayo mambo kwa sana jinsi wazungu wanavyofanya anzia hapa
Home - Welcome,
Ofsted | Home page