Poverty in USA

yes after all america ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa dunian.
always lazima kuwe na tabaka la maskin na tajiri. haijalishi hiyo nchi ina hela kiasi gani.

Kama unaenda huko na plans it is OK, mimi naongelea mtu tu anajiendea huko bila dira, imagine kama Waamerika wenyewe ndio hivyo wewe nani tena ukifika huko???
 
Kama unaenda huko na plans it is OK, mimi naongelea mtu tu anajiendea huko bila dira, imagine kama Waamerika wenyewe ndio hivyo wewe nani tena ukifika huko???
sasa kwenda mahali bila dira hilo ni kosa kubwa sana. lakin ni uzembe ulioje ukidhan utabahatisha life. kwa nchi za wenzetu usipokuwa na plan maalum hutoboi
 
Brunei Darussalam, the Abode of Peace, is a small Southeast Asian country with a population of approximately 350,000 people. Data on poverty in Brunei is scarce, but it shows that roughly five percent of the country's population lives in poverty. ... Brunei also ranks well in the gender development index (GDI).
 
Tatizo la watu kuwa wanene lipo kwa wingi Marekani ni suala la ulaji mbovu na aina ya vyakula vyenyewe halina mahusiano na chakula kuwa cheap.
 
Ajira zipo kibao, ila ni zakukata jasho, kipato cha chini, Ajira za za kipato kikubwa ni ngumu kupata mana wazungu, wahindi, wa Africa magharibi wamejaa tele na wana ma cv ya ukweli so kwa wabongo inakua ngumu sana kupata ajira za mana.
Potelea mbali, muhimu mkono uende kinywani.
 
Tatizo la watu kuwa wanene lipo kwa wingi Marekani ni suala la ulaji mbovu na aina ya vyakula vyenyewe halina mahusiano na chakula kuwa cheap.
Ushajaribu kufanya shopping ya chakula kilicho bora (organic at Whole Foods for example) na kulinganisha na chakula cha kawaida Marekani?
 
Ushajaribu kufanya shopping ya chakula kilicho bora (organic at Whole Foods for example) na kulinganisha na chakula cha kawaida Marekani?
Point yangu ni ulaji mbovu pamoja na lifestyle ya Marekani sasa sijajua point yako ni ipi?
 
Hao watu we waache tu mkuu, tunakaa tukidanganyana vijiweni bongo kuwa wazungu wana hela, my foot waarabu ni noma
Hawaelewi mkuu ..hawa watu nimekuja kujua ni wako vizuri sana aise. Mfano hapa Qatar kwanza ni nchi ndogo halafu watu wachache kama kuna masikini aise wangeonekana.
 
Ningumu sana ku satle vizuri, life ipo very expensive kwa wageni.
Ila wapo wapambanaji kibao wanaotisua, kama wa hindi wengi tu wanapiga hela ya maana kwenye hiyo miji
Ni kweli mkuu itachukua kama miaka mbili hivi ku sattle furesh. Ila ukiwa na skills mfano IT uku wanapiga ela sana maana kampuni nyingi zinawahitaji.
 
Ni kweli mkuu itachukua kama miaka mbili hivi ku sattle furesh. Ila ukiwa na skills mfano IT uku wanapiga ela sana maana kampuni nyingi zinawahitaji.
mkuu nyumba ya rahisi inalipiwa bei gani huko kwa mwezi? au hupo kwenye mageto?
 
mkuu nyumba ya rahisi inalipiwa bei gani huko kwa mwezi? au hupo kwenye mageto?
Mkuu yako mageto ambayo mwaweza share na jamaa wengine, mfano mwaweza kuwa watatu au wawili mkalipa rial 300 kwa mwezi, ukitaka appartment ndo bei kidogo hadi usd 100 kwa mwezi na una enjoy furesh ..vip mzee nataka kuja karibu sana life is good here and no one care[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…