Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
umaskini is every where
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umaskini is every where
yes after all america ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa dunian.
always lazima kuwe na tabaka la maskin na tajiri. haijalishi hiyo nchi ina hela kiasi gani.
sasa kwenda mahali bila dira hilo ni kosa kubwa sana. lakin ni uzembe ulioje ukidhan utabahatisha life. kwa nchi za wenzetu usipokuwa na plan maalum hutoboiKama unaenda huko na plans it is OK, mimi naongelea mtu tu anajiendea huko bila dira, imagine kama Waamerika wenyewe ndio hivyo wewe nani tena ukifika huko???
Brunei Darussalam, the Abode of Peace, is a small Southeast Asian country with a population of approximately 350,000 people. Data on poverty in Brunei is scarce, but it shows that roughly five percent of the country's population lives in poverty. ... Brunei also ranks well in the gender development index (GDI).Brunei
Vizuri sana🤣🤣🤣 Kijana unapaelewa Qatar?
Tatizo la watu kuwa wanene lipo kwa wingi Marekani ni suala la ulaji mbovu na aina ya vyakula vyenyewe halina mahusiano na chakula kuwa cheap.Ma vyakula cheap ma burgers yananenepesha sana, matajiri wanakula mavitu organic halafu kwa vipimo.
Ukimuangalia Tim Cook, Bill Gates au Mark Zuckerberg kwa sie tuliozoea tajiri mtu mnene kama Peter Msechu, unaweza kufikiri hawa vidampa tu.
Kumbe ndio mabilionea wenyewe hao.
Ajira zinapatikana??.
Potelea mbali, muhimu mkono uende kinywani.Ajira zipo kibao, ila ni zakukata jasho, kipato cha chini, Ajira za za kipato kikubwa ni ngumu kupata mana wazungu, wahindi, wa Africa magharibi wamejaa tele na wana ma cv ya ukweli so kwa wabongo inakua ngumu sana kupata ajira za mana.
Ushajaribu kufanya shopping ya chakula kilicho bora (organic at Whole Foods for example) na kulinganisha na chakula cha kawaida Marekani?Tatizo la watu kuwa wanene lipo kwa wingi Marekani ni suala la ulaji mbovu na aina ya vyakula vyenyewe halina mahusiano na chakula kuwa cheap.
Point yangu ni ulaji mbovu pamoja na lifestyle ya Marekani sasa sijajua point yako ni ipi?Ushajaribu kufanya shopping ya chakula kilicho bora (organic at Whole Foods for example) na kulinganisha na chakula cha kawaida Marekani?
Huenda anamaanisha kula vizuri /healthy ni gharama kubwa ndio maana wengi wanaendelea na ulaji mbovu.Point yangu ni ulaji mbovu pamoja na lifestyle ya Marekani sasa sijajua point yako ni ipi?
Hawaelewi mkuu ..hawa watu nimekuja kujua ni wako vizuri sana aise. Mfano hapa Qatar kwanza ni nchi ndogo halafu watu wachache kama kuna masikini aise wangeonekana.Hao watu we waache tu mkuu, tunakaa tukidanganyana vijiweni bongo kuwa wazungu wana hela, my foot waarabu ni noma
Hapaelewi tumsamehe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kijana unapaelewa Qatar?
Ni kweli mkuu itachukua kama miaka mbili hivi ku sattle furesh. Ila ukiwa na skills mfano IT uku wanapiga ela sana maana kampuni nyingi zinawahitaji.Ningumu sana ku satle vizuri, life ipo very expensive kwa wageni.
Ila wapo wapambanaji kibao wanaotisua, kama wa hindi wengi tu wanapiga hela ya maana kwenye hiyo miji
mkuu nyumba ya rahisi inalipiwa bei gani huko kwa mwezi? au hupo kwenye mageto?Ni kweli mkuu itachukua kama miaka mbili hivi ku sattle furesh. Ila ukiwa na skills mfano IT uku wanapiga ela sana maana kampuni nyingi zinawahitaji.
Mkuu yako mageto ambayo mwaweza share na jamaa wengine, mfano mwaweza kuwa watatu au wawili mkalipa rial 300 kwa mwezi, ukitaka appartment ndo bei kidogo hadi usd 100 kwa mwezi na una enjoy furesh ..vip mzee nataka kuja karibu sana life is good here and no one care[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu nyumba ya rahisi inalipiwa bei gani huko kwa mwezi? au hupo kwenye mageto?