The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Mkuu yako mageto ambayo mwaweza share na jamaa wengine, mfano mwaweza kuwa watatu au wawili mkalipa rial 300 kwa mwezi, ukitaka appartment ndo bei kidogo hadi usd 100 kwa mwezi na una enjoy furesh ..vip mzee nataka kuja karibu sana life is good here and no one care[emoji3][emoji3][emoji3]
UAE kushajaa kule labda utoke bongo na mchongo mkononi.Upo serious mkuu? mbona cheap sana? UAE jasho la meno litakutoka kwenye ishu ya kodi
Gharama za visa na air ticket inaweza kucost kiasi gani kwa ujumla wake !?Mkuu yako mageto ambayo mwaweza share na jamaa wengine, mfano mwaweza kuwa watatu au wawili mkalipa rial 300 kwa mwezi, ukitaka appartment ndo bei kidogo hadi usd 100 kwa mwezi na una enjoy furesh ..vip mzee nataka kuja karibu sana life is good here and no one care[emoji3][emoji3][emoji3]
Tusubiri majibuGharama za visa na air ticket inaweza kucost kiasi gani kwa ujumla wake !?
China.Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea.