Poverty Rates In Africa(Top 10)

Poverty Rates In Africa(Top 10)

Duh ,nyie miTanzania mna fikra za umaskini sana.Huu ni upumbavu wa hali ya juu kama Magufuli alivyo sema juzi eti mzaane kwa wingi ili uchumi uwe mkubwa ...my gosh ,the utter stupidity is real.
You're the stupid one, hii nchi ni kubwa kuliko Nigeria, population is like 1/4 ya Nigeria. We have lots of empty spaces that needs people. We down here, we know. Putin analipa wanandoa wanaopata watoto zaidi ya wawili, sembuse bongo.
Mtuache na mipango, do not catch feelings on our behalf. Wtf
 
kenya ina watu wachache masikini wanaokufa kwa njaa,wakati tz ina masikini wengi wanaoishi chini ya dollar moja.

blaza acha blah blah.
Heri kufa njaa juu ya adverse climatic conditions kuliko kufa juu ya kuchinjwa I say
 
simply no data za makaratasini,zisiongalia vigezo kwamba sababu ni lwamba wao hawaongezeki.si kwamba kuna juhudi za maana kuupunguza huo umasikini.
Kwahiyo kisa hawaongezeki ndio umasikin utapungua ilhali wanaoishi suitable life ni too minor population of Kenya.Na wengi wao ni wafa njaa.?!
Hii imekaaje?!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mzungu anakwambia uzae mtoto mmoja huku yeye ana watoto 4 kisa upunguze umasikini

Kwann asikwambie ni njiani gani ufanye bidii kufanya kazi na kulima ili muongeze uzalishaji mle na kusaza mpate faida

Mbona ulaya walikua na demographic revolution sisi wanataka tusizaane kwa wingi

UFIPA NA WAKENYA ACHENI SISI WABONGO TUFYATUE TU [emoji16][emoji16][emoji16]
Maskini ndio huzaa watoto wengi pekee,
Enda Kwa develop countries uone kama watu huzaa kama panya!
 
Maskini ndio huzaa watoto wengi pekee,
Enda Kwa develop countries uone kama watu huzaa kama panya!
unajua dangote ana watoto wangapi!,wacha kujifanya mzungu na hela huna.

obama alikuwa na watoto wawili tu,amesoma,ni rais wa america,na hela anayo,weww una mtoto mmoja na bado ni masikini[emoji2][emoji2][emoji2].
 
technology ipi unasemea,kajifunze mipaka yake kwanza halafu uje utafakari hapo na hiyo kisumu yako.
This my friend is the mumbling of an ill educated and lazy Tanzanian. I do not expect you to know better.
 
kenya ina watu wachache masikini wanaokufa kwa njaa,wakati tz ina masikini wengi wanaoishi chini ya dollar moja.

blaza acha blah blah.
Food poverty in Kenya is lower than Tanzania, check your information before embarrassing yourself in public.
 
Top 10 African countries with extreme poverty (million)

Nigeria 86.9 million (Poverty Increasing)

Democratic Republic of Congo 60.9 million (Poverty Increasing)

Ethiopia 23.9 million (Poverty Reducing)

Tanzania 19.9 million (Poverty remains stagnant despite economic growth due to population growth)

Mozambique 17.8 million (Poverty Reducing)

Kenya 14.7 million (Poverty Reducing at 10.5% every decade)

Uganda 14.2 million (Poverty Reducing)

South Africa 13.8 million (Poverty increase among the black population to due to decline in commodity prices, and Economic mismanagement. It also tops the world in inequality followed by Nigeria )

South Sudan 11.4 million (Poverty Increasing)

Zambia 9.5 million (Poverty Increasing)

View attachment 1154017
Chakujifunza hapa ni kwamba population growth[unproductive] inaathiri sana GDP ya nchi.
 
Usiongee kama umekunywa gongo ww.
Nenda China developed nation the rival of US in economy wanazaana kishenzi.
Huko US pia usiseme mtu ana watoto watano kawaida.
Maskini ndio huzaa watoto wengi pekee,
Enda Kwa develop countries uone kama watu huzaa kama panya!
 
technology ipi unasemea,kajifunze mipaka yake kwanza halafu uje utafakari hapo na hiyo kisumu yako.
I understand that in Tanzania you are still in the stone age when it comes to industrial technology, you will get there one day do not worry. At that time you will have the knowledge that I have now.
 
Food poverty in Kenya is lower than Tanzania, check your information before embarrassing yourself in public.
Acha kuropoka km mla mirungi ww.
Tz haijawahi pata food aid nyie mnapata food aid mpk sisi tunawalisha nyie utasemaje mna low food poverty.?!
USITUCHUKULIE SISI WATOTO ILHALI TUNAJIELEWA
 
UN ilitangaza kuwa northern part of kenya kuna njaa ya kukeketa.
Ulishawahi ona ama sikia mkoa wowote tz ukitangazwa internationally kuwa na hunger and famine?!
Tena mwaka huu bahati mbaya dodoma walipatwa na njaa ya muda mfupi tu na tayari washarekebisha mambo.
Ilhali nyie mna food insecurity kiasi ya kuagiza mahindi toka Mexico.
Kenya mnapewa food aid ama. Mlishawahi pewa food aid.
Ulishawahi sikia Tz ikija food aid?

The lunacy of illiteracy, it is like you guys live in North Korea. World Food Programme has an active schedule of nutrition and Food Aid in Tanzania and here you are blubbering nonsensical words and incoherent thoughts. Go look at WFP Tanzania page
 
UN ilitangaza kuwa northern part of kenya kuna njaa ya kukeketa.
Ulishawahi ona ama sikia mkoa wowote tz ukitangazwa internationally kuwa na hunger and famine?!
Tena mwaka huu bahati mbaya dodoma walipatwa na njaa ya muda mfupi tu na tayari washarekebisha mambo.
Ilhali nyie mna food insecurity kiasi ya kuagiza mahindi toka Mexico.
Kenya mnapewa food aid ama. Mlishawahi pewa food aid.
Ulishawahi sikia Tz ikija food aid?
The UN delivers food to refugees. GOK delivers food from it's silos(strategic grain reserve) to Kenyan citizens in need (Not food Aid) and if more is needed, Kenyans themselves contribute in the "Kenyans for Kenya" programme. We buy food, we are not given, in fact we are going to buy about 2 million bags of maize from Tanzania to lower prices in Kenya, because your bag of maize is 60% cheaper than Kenyan Maize. Make yourself useful and go to the farm and plant then we will buy.
 
Usiongee kama umekunywa gongo ww.
Nenda China developed nation the rival of US in economy wanazaana kishenzi.
Huko US pia usiseme mtu ana watoto watano kawaida.
China has had a one child policy for many years now,this has helped them get some sort of development ,they aren't yet classified as a first world country.
 
Give me a small citizenry population coupled with advanced technology and industrialization anyday over a huge population with poverty.
I will follow the example of, Qatar,Singapore,Dubai,Botswana,Monaco,Luxembourg,Switzerland et al.
I will reject:-
Nigeria,India,China,Tanzania.

The Arabs have a very tiny population,yet the enslave Asians and Africans daily to build their skycrappers ,work in their factories and babysit their children.

Hahaahhh.
 
Back
Top Bottom