Anaitwa Amanda Lee (nime attach screenshots).. About marketing huitaji kunifundisha chochote kile boss.. Na niliweka wazi in my previous post, kazi ya IG Models ni umalaya/kujiuza na wana wateja sana tu.. Na wengi wa wateja wao ni watu wazito..
Nikakutolea mfano mwingine, Huddah Monroe na Vera wa Kenya walianza na drama kama hizi za huyo Agnes sasahivi wanazunguka dunia kama wewe unavyozunguka na mwendokasi hapo Dar.. Huyo Agnes wiki nzima ni yeye tu ndio anatrend, page zenu za udaku huko zinamuongelea yeye tu, JF hii ni nyuzi ya 3 ndani ya siku 2 anaongelewa yeye tu. Sishangai yeye kupata hao followers 21k ndani ya wiki moja.. Na bado watazidi kuongezeka, wawe fake au wasiwe, hiyo haijalishi..
Mastar wa NBA msimu huu wa joto huko US ndio muda wao wa kuwatafuna hawa IG Models, kuna mmoja ndani ya hii summer ameshalala na mastar wawili wa NBA na bila shaka kavuta mkwanja mzuri tu. IG Models kama wanavyojiita hawahitaji chochote zaidi ya kupost picha za kututamanisha wakware.. Wakati mkiwa busy kumponda huyo demu, DM yake imejaa oda kibao za wateja ikiwemo na wakware wa humu humu JF..
Boss just live your life, usicomplicate sana maisha na usipende kufatilia mambo ya watu. Huyo msichana kama amevunja sheria yeyote ya nchi atakamatwa na vyombo vya usalama na kufikishwa mahakamani au pia unaweza wewe kwenda kumshtaki, so far acheni atafute kwa njia aliyojichagulia.
Mwisho, nkuulize tena, wewe unamfikia Huddah kwa chochote?
Sent using
Jamii Forums mobile app