Povu la Idriss Sultan kwa wanaopiga nude pics na kujiita models

Katika kitu alichoongea cha maana huyu Idris basi hicho. Yaani nawakutaga insta wanajiita models sasa sijui models wa kitu gani? na ni kweli wanaume wamegundua kuwa wanawake wanapenda mauzo na kujiona models basi ukiwa na camera tu unawateka kiuwepesi sana. 😀 Siku izi ukiwa na camera ya cannon au nikon basi ushakuwa photographer na mwanamke huitaji kupiga mistari, we toa tu camera na yeye ataanza kujihashua mwenyewe 😀 😀 😀
 
Picha wanazopiga na kutupia mtandaoni ni tofauti na uhalisia wao
Unamwonea wivu mwenzako biashara yake inamuendea vizuri..

U are secretly competing with her na bado unakushinda. Inaonekana wewe na yeye mnafanya biashara moja ndio maana unatokwa povu hivo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madada wa tz hawaelew wenzetu mbele kina amber rose wakipiga pic za hvo ujue wanatangza jarida na wanalipwa pay ndefu mno
sasa wao wanapiga tu kupost insta then wanajiita models

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzenu sasahivi yupo full booked mpaka October huko.. Sasahivi mtaanza kumuona anatupia selfie akiwa kwenye Emirates.

Kila mtu aishi awezavyo, akina Huddah na Vera wa Kenya wametokea huko huko lakini sasahivi wewe na uLoan Officer wako humfikii kwa exposure wala pesa.

Kila mtu apambane na hali yake, msipende kuwapangia watu jinsi ya kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja ya Idris Sultan..
 
Hao wanaitwa Instagram models mkuu, sio Tz tu hata USA wapo.. Msipende kukariri eti models ni wale wanaotembea majukwaani tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaitwa Instagram models mkuu, sio Tz tu hata USA wapo.. Msipende kukariri eti models ni wale wanaotembea majukwaani tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Instagram Models? Unawajua instagram models? Wanatangaza biashara, hivi huna biashara unayotangaza wala hujasajiliwa na any modeling agent unakuwa model? basi kila mtu ni model 😀

Walau uwe na shughuli maalum basi unaonesha watu lakini hata hio hamna, picha za kawaida kam za kila mtu insta zilivo, then unajiita model?

Jifunze maana ya model kwanza kisha ndio uje uwatete hao watangaza vumbi
 
Instagram models hawahitaji agent yeyote na wala hutakaa uwaone majukwaani.. All they need ni trainer wa gym na a photographer.. Hawana haja ya huo usajili mnaousemea, one of the most successful IG Model ni Amandaeliselee wa US.. Ana 10M Followers, hajasajiliwa na agent yeyote yule.. 10M Followers ni zaidi ya followers wa Diamond, Wema, Alikiba kwa pamoja.. With 10M people following her ni rahisi yeye kupata matangazo akatangaza na kutengeneza fedha zaidi.. Shughuli kubwa ya IG models ni umalaya tu. Na mastar na matajiri wengi tu huwa wanachepuka nao..

Huyo demu mnayemsema kwanza ni mpya, ana followers wachache ingawa wanaongezeka kwa kasi, jana niliona anao 14k, leo tayari 21k.. Bila shaka mpaka mwezi uishe huu atakuwa tayari anakimbiza 100k. Kufikia hapo ni rahisi yeye kuanza kupata matangazo na mpaka kwenye video zenu za bongo mtaanza kumuona..

Kufikia October mtaanza kumuona akiwatupia selfie za Emirates na Dubai.. Katika kitu tunachokiweza sana wabongo ni chuki, fitna, ubinafsi, wivu na kufatilia sana maisha ya watu wakati ya kwetu tu yanatushinda. Huyo Idris anayepiga blah blah alienda kuuza uchi wake mbele ya Africa nzima ndio akapata hiyo fame na pesa zinazomuweka mjini, kwanini achukie wengine wanaotafuta maisha kwa namna wanayoiweza?

Huddah wa Kenya alianza hivihivi, look at her now! Wewe unamfikia Huddah hata robo? Huddah yeye sio IG Model? Amesajiliwa na agent yeyote? Wabongo acheni chuki..

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu sijui kama umemkusudia Amanda Cerny ambae ana 17 Million followers. IKIWA ni huyu basi huyu demu katokea kwenye PLayboy magazine mdipo alipopaishiwa. Kama sie basi nilijaribu kumsearch insta sikumkuta kwa hilo jina.

Lakini tutizame mfano wa huyu Cerny, huyu ni model, kwa sababu tunamuona kwenye billboards, isitoshe she has every right kujiita model au celebrity, kwanza shes acting, shes genuinely famous. Anafanya kazi, mfano acting na kutengeza vichekesho vyake. Huyu ni kama Joti, joti nae ni model. Lakini hao unaowatetea wanaojiita models insta, hasa hawa wa kibongo, wanafanya modeling of what? Ivi demu akipiga picha akiwa nusu uchi ndio anakuwa model? Hana kazi anayofanya, hana chochote ambacho huenda kikawa role model kwa wengine wakamfuata. Alafu anakuwa model? au kupiga picha na kujiita model basi ushakuwa model?

Usifikiri real business people watakaa watizame tu una followers wangapi kisha wakupe business. Unaishi wakati gani mkuu? Watu wamejaa fake followers. Mtu ana million followers anapata 500 likes? dont you see? watu wa marketing wanakuwa makini wapi wana target. watu wana genuine followers wabongo wote wana Insta Followers apk/iosapp 😀. Usitake kunchekesha ukachachawa na idadi inavoongezeka. Hata Youtube watu wananunua likes. Upo nyuma mkuu.

Hawa unaowatetea tatizo hawana kazi hata moja zaidi ya kujianika uchi tu. Na hao unaowatizama USA wana kazi. Mfano Jenafrumes, Ukiingia ukurasa wake utakuta kwanza anatangaza products kama za fit tea vile vile demu kaingia kwenye nyimbo ya chris brown, Yaani hio nyimbo nilienda kuitizama kwa sababu ya huyo demu na sio kwa sababu Brown katoa nyimbo. Hawa ndio models. Bongo kuna wauza Uchi na wenye maradhi ya kutafuta attention na kiki tu.

By the way, model si lazima utembee majukwaani. Soma maana ya Model kwanza utaelewa
 
Anaitwa Amanda Lee.. About marketing huitaji kunifundisha chochote kile boss.. Na niliweka wazi in my previous post, kazi ya IG Models ni umalaya/kujiuza na wana wateja sana tu.. Na wengi wa wateja wao ni watu wazito..

Nikakutolea mfano mwingine, Huddah Monroe na Vera wa Kenya walianza na drama kama hizi za huyo Agnes sasahivi wanazunguka dunia kama wewe unavyozunguka na mwendokasi hapo Dar.. Huyo Agnes wiki nzima ni yeye tu ndio anatrend, page zenu za udaku huko zinamuongelea yeye tu, JF hii ni nyuzi ya 3 ndani ya siku 2 anaongelewa yeye tu. Sishangai yeye kupata hao followers 21k ndani ya wiki moja.. Na bado watazidi kuongezeka, wawe fake au wasiwe, hiyo haijalishi..

Mastar wa NBA msimu huu wa joto huko US ndio muda wao wa kuwatafuna hawa IG Models, kuna mmoja ndani ya hii summer ameshalala na mastar wawili wa NBA na bila shaka kavuta mkwanja mzuri tu. IG Models kama wanavyojiita hawahitaji chochote zaidi ya kupost picha za kututamanisha wakware.. Wakati mkiwa busy kumponda huyo demu, DM yake imejaa oda kibao za wateja ikiwemo na wakware wa humu humu JF..

Boss just live your life, usicomplicate sana maisha na usipende kufatilia mambo ya watu. Huyo msichana kama amevunja sheria yeyote ya nchi atakamatwa na vyombo vya usalama na kufikishwa mahakamani au pia unaweza wewe kwenda kumshtaki, so far acheni atafute kwa njia aliyojichagulia.

Mwisho, nkuulize tena, wewe unamfikia Huddah kwa chochote?




Sent using Jamii Forums mobile app
 


There is a difference between a model and a whore.... Again you need to learn that.

Huwezi kujiita model kwa kuuza uchi eti kwa wakubwa au ma NBA stars. Hivi unafikiri wauza uchi ni wachache insta na kuwa ni maarufu? Mia Khalifa ni model kwa sababu anatangazia Pornhub, huyo ulomtaja anatangazia nini? au mtu ukijitangazia uchi wako ndio unakuwa model siku izi?

You need to be taught marketing, kwa sababu umechachawa na kuongezeka kwa followers ukiwa umepitwa na hizi tools za siku izi. You seem to be easy to be deceived, pole sana.

Kuongelewa haimaniishi kuwa ndio model mkuu. Yaani you really know nothing about models kweli. Kisa mtu anazungumzwa ndio amekuwa model? ivi ukikaa maskani ukamzungumza mshkaji wako, anakuwa model?

Utakuwa model ukiwa unatangaza business ama ukiwa sponsored tunaweza kukwita Model. Ila kama unaonesha uchi Insta kisha ukajiita model, au unajiita model huna agency wala huna kampuni yako mwenyewe, ama unajiita model lakini huna kitu unachofanya, basi wewe hujawa model. Umekuwa unapigwa picha tu.
 
Model wengi wa kike hata wana mitindo wa kibongo wana sura za kawaida sana hivyo huamua kupiga nudes pics angalau kuonyesha kuvutia
 
Mia Khalifa is a porn star sio model.. Huyo anafanya video shoot za porn anakuaje model?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hiyo vizuri, sasa sijui wewe unajua zaidi ya hao wazungu waliokuletea kila kitu..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamezidi vidada kwakweli kuiga iga watachanika misamba ***** zao
 
Model wa kukaa uchi?
Wapumbavu na malofa..mwafrika nae model wa kukaa uchi ? Ujinga na utumwa mbona midume halikai na korodani zao huko Instagram?
Kina dada kuweni na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…