Povu la Jokate

Povu la Jokate

Na Seven ni zaidi ya manager wa Kiba kwa sababu pia ni boss wa talents pale Rockstar4000. Rockstar4000 ni mkono wa Sony!! Sasa unapotoka na mtu wa aina hii, unatakiwa kuwa very cautious kwa sababu, mkivurundana, unaweza kukuta mtu anawapa attention zaidi wenzako kuliko wewe ili mradi tu!!!
Yani naona huu uhusiano hatari maana kiba akikosea tu kwaheri na mapenzi huwa hatari mkikosana hasa inapokuja Ku revenge maana huyo seven atanogewa na kuanza kupenda kiki
 
Kiba hakumpenda JoJo Bali alikuwa ana mtumia kipindi timu kiba na mond zimepamba moto walah kiba Mungu anamuona
Nayey awe na akili umri umeenda bado anang'ang'ania mambo ya kitotoo kijinga.....Ebu kamuinbox insta[emoji4] jirani yako...umwambie azae kwanza ndio ahangaike coz Kiba ana watot km 6 hiv so muda wake wakuchezewa umeisha[emoji36] [emoji23]
 
Jojo asije ni block bure na kunimalizia hasira za kuachwa, nyota ake imetiwa gundu na wasanii, kiba has nothing to loose, watoto anao wakutosha, pia JoJo naye anajibanzaje kwa mwanaume anayezalisha kila mwanamke hovyo jamani?
 
[emoji3] [emoji3] acha abaki na hamu zake
 
Hafu kinazidi kukuwa daily hicho kidude mie naona ka ulemavu flani hivi
Siku za karibuni alikuwa si alikuwa mbeleni ambako kuna mabingwa wa surgery. Angekaacha huko huko.

Halafu kako sehemu mbaya kweli.
 
Yani naona huu uhusiano hatari maana kiba akikosea tu kwaheri na mapenzi huwa hatari mkikosana hasa inapokuja Ku revenge maana huyo seven atanogewa na kuanza kupenda kiki
Atanogewa wakati keshanogewa!!! Ukiona Seven mambo yake yanakuwa hadharani, hakuna lingine hapo zaidi kwamba tayari yupo ndembendembe... kaficha weee, kaona kama mbwai mbwai tu!!!
 
But pia Kiba alikwenda kwa gia hio hio ujue[emoji4]
Baada ya kutosheka akasepa kwa dharau....ila co vizuri wanaume Mnachofanya Mungu Anawaona[emoji36] [emoji23]
Ukiona mwanaume anakufanyia hivyo jua keshakushoka... sasa tatizo linakuja pale ambapo kama kuchokwa ushachokwa lakini unaendelea kulazimisha!! Kate ama asepe zake au aendelee kula maumivu manake ana nafasi finyu sana ya kuwa first choice to Seven!!!
 
Atanogewa wakati keshanogewa!!! Ukiona Seven mambo yake yanakuwa hadharani, hakuna lingine hapo zaidi kwamba tayari yupo ndembendembe... kaficha weee, kaona kama mbwai mbwai tu!!!
Kazi kweli kweli kwa hawa mastar wetu maana itakuwa kina JoJo na wazazi wenziwe kiba wanakomeshwa
 
Hao na wazazi wenzie na Kiba washasomeshwa namba kitambo na Kate kwahiyo naamini washashukuru Mungu zamani!!

Kiba zamani alikuwa anagonga kimya kimya... Kate ndo kamuanzishia mapenzi ya hadharani! Kate nae zamani alikuwa anagongwa kimya kimya; Mond ndo kamuanzishia mapenzi ya hadharani rasmi... nae akai-import style na kuihamishia kwa Kiba ili labda kuwaonesha akina mama fulani kwamba jamaa is occupied!!!
 
Kazi ipo matokeo yake sasa ndo ilivo kuwa. Yani kwenye hyo party jinsi joketi alivochuniwa maskini ka hawamjui vile na kukanwa juu, mi sijawahi kumshobokea mtu kiasi cha joketi had kudhalilika labda kimiujiuza.
 
Kama ni kweli hii itakuwa imemuumiza sana Jokate..tena Seven ni mkubwa kiumri kwake, dada wa kitambo sana. Hivi hajaolewa bi dada huyo?
Jokate atulize kichwa na kujipanga upya.
 
Back
Top Bottom