Povu la Jokate

Elimu aina faida yoyote kwenye akili za mtu.

Lipumba na kuwa professor ila mambo anayofanya hata mtoto wa form 4 anamtoa akili.
Kwaio wewe hapo ulipo.hujasoma hata hujui mlango wa darasa upoje, sio?!
 
But pia Kiba alikwenda kwa gia hio hio ujue[emoji4]
Baada ya kutosheka akasepa kwa dharau....ila co vizuri wanaume Mnachofanya Mungu Anawaona[emoji36] [emoji23]
We msomali..wanaume sisi tunapishana tabia ujue

Mimi nikimpata jokate sita fanya buguza ujue najaza fasta

Anyway
Kumbe nawe ke..sikujua
 
Wasallam wanajukwaa,
Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage mpaka dushe wajuzi tililikeni hapa.
Wapi Harmorapa ajitwalie mzigo maana unaonekana wa burebure huu!
 
Kazi ipo matokeo yake sasa ndo ilivo kuwa. Yani kwenye hyo party jinsi joketi alivochuniwa maskini ka hawamjui vile na kukanwa juu, mi sijawahi kumshobokea mtu kiasi cha joketi had kudhalilika labda kimiujiuza.
Kwenye ile thread ya Kate kuchuniwa nililazimika tu kumtetea Kiba na familia yake kwamba kimaadili ya Kiafrika walilazimika kufanya walichomfanyia kwa sababu hawa still ni mahawala!! Lakini deep inside my heart nafahamu kabisa waliamua tu kumlia buyu!! Nilisikia clip ya Soud Brown akimuhoji Kiba kuhusu hii issue... yaani haonekani ku-regret hata kidogo! Nilitarajia lile jibu la ujanja ujanja nililotoa mimi hapa JF; ndo angetoa yeye; lakini wapi!!

Anyway, Kate stands no chance to fight Seven kwenye hii issue! Just imagine, karibu shows zote za nje na ndani; watakuwa wote wakati Kate yupo home tu! Kate hana namna... ni ama achukue hamsini zake au abaki aendelee kula maumivu!
 
Ila jojo na lulu kweny
Mapenz n kama,walilaaniwa
Maana,wao n machoz tu
Hakuna mahusiano wanayafrahia

Ila jojo ucjali bdo nakumendea nkikupata hakika roho yako itasuzikaaa
 
Majuzi hapa Irene kiwia alikua anasherekea birthday yake miaka 37
Halaf nadhan seven nae itakua miaka hio hio labda wazidiane kidogo coz wale marafiki toka kitambo toka enzi za ubinti
 
Kila nikipata muda wa kusoma huu udaku huku na kule nimegundua kitu. Ninyi mna mtazamo wenu juu ya Jokate ambao ni tofauti kabisa na ye alivyo.

Mkisema Jokate has classy hadeserve viwanaume kama kina kiba, Dai mnamaanisha nini? Kwamba u classy wake mmeuona mkifanya reference na kipi? Kwamba muonekano wake ndo u classy au? Kwamba elimu aliyonayo ndo uclassy au? Biashara zake au? Mtu kujua kujieleza vizuri mbele za watu wala sio u-classy. Tuelewe tu mtu anaweza kuwa mrembo, ana elimu lakini akakosa "classy".

Jokate hana tofauti na wadada wengi kwenye entertainment industry. Kama angekuwa na classy asingefanya hayo yote yanayopelekea leo mnamlaumu, kwamba alikosea kudate na Dai, akakosea tena kudate na Hasheem, akakosea tena kudate na Kiba? Jibu ni rahisi sana hapa, huyo ndivyo alivyo, hizo ndizo taste zake, kwahiyo tuheshimu machaguo yake regardless challenges anazokutana nazo.

Tatizo kubwa hapa ni kuwa mmempa thamani isiyokuwa yake, mnamuona katika mtazamo tofauti na alivyo.

Inashangaza mtu anaposema Jokate has Classy lakini anafanya mambo tofauti na alivyo, labda kwa pamoja tutafute maana halisi ya "Classy"ni ipi! ?
 
Diamond Platinumz
Hashim Thabit
Ali Kiba

Mtake radhi Jojo, hawa ni wanaume ambao wameinspire vijana wengi kua - it's possible, and it can be done. Najua tunatofautiana sana kimtazamo, lkn kiuhalisia hawa si 'wanaume suruali'.

kwaiyo angekuwa mcheza mpira ni kama vile figo kacheza Barcelona(Alikiba) pia kacheza Madrid(diamond)
 
Hyo ni maharage ya mbeya toka anasoma, watu walikua wanajgongea japo still alikua vzr class co km kaanza kwa mond. kumbuka huyo ni mngoni so anapenda sn hayo mambo co km anaonewa na hata ukioa huyo subir maumivu
 
Na siku zote Wasomi hushindwa kuchagua Wapenzi wazuri na chunguza utagundua kuwa Wasomi wote wameoa au wameolewa na Wapenzi wa hovyo hovyo hadi unashindwa kuamini wakati wanawachagua Usomi wao ulikuwa wapi!
Kwakweli hata mimi nahisi nilikuwa nawapenda wanaume wa hovyo hovyo.
 
Umepuyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…