Povu la Jokate

Maneno kuntu, kula like mkuu
 
Majuzi hapa Irene kiwia alikua anasherekea birthday yake miaka 37
Halaf nadhan seven nae itakua miaka hio hio labda wazidiane kidogo coz wale marafiki toka kitambo toka enzi za ubinti
kama unajua mambo ya nje huko Gerald Pique anachezea fc Bacelona na mwanamuziki Shakila wamepisha kwa miaka 10...Shakila kamzidi Pigue so kwenye mapendo mubaahara sio ishu umri.
 
Nakumbuka Jokate miaka ya 2006-2008 alipata kashfa ya video yake ya ngono kusambaa UDSM. Tokea kipindi kile nilimvua maksi,ila akajipanga na kurudi vyema mpk hapo alipo sasa. Sijui tatizo ni nini lakin kuna kitu hakiko sawa mahali fulani. Cant pin point exactly location ila something is off! Still its better on her side as compared to that one used to be her competitor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…