Povu la Jokate

Jokate anapashwa kujua terms and conditions za kupenda the so called celebrities. Haya yanayomtokea si mageni unapokuwa upo kwenye penzi na mtu mashuhuri. Yeye si wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho. Aangalie maisha yake. Kama anataka a stable relationship kama ipo basi aachane na hao ma celebrities. Kuna ma celebrities wachache walio weza ku maintain a stable relationship. Mfano Beyonce na Jay Z Will Smith na Jada Pinket Smith. But ask them it's a tough game full of challlenges.
 
Tatizo la joketi sijui nn jaman,angekua mbali kweli kwenye ajira na kujitegemea(bado anaishi kwao si mbaya ila uwezo wa kujenga nyumba yake upo sana),kama ni elimu anayo ya kutosha,english(ya kuongea na jay z anayo)

Biashara alizonazo sidhan kama zinampa faida au ndio basi tu na yeye awe kwenye historia ya wafanya biashara.
 
Elimu aina faida yoyote kwenye akili za mtu.

Lipumba na kuwa professor ila mambo anayofanya hata mtoto wa form 4 anamtoa akili.
Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.

Lipumba aliona 'mwanya' akautumia, pengine elimu yake ilimsaidia. Ndio maana ukiwa na hela halafu huna elimu, utafilisiwa na wenye elimu.
 
Jokate maisha yake yalitakiwa yawe kama kina Nancy summary,jacline ntuyabaliwe,kina Faraja nyalandu Hawa wadada wanajielewa sana na wanakula maisha yao taratiiiiibu hata kama kuna skendo sio rahis sana kuzisikia and yet bado ni maarufu cjui ila mi naona kaliba ya jojo iko kule kwa maana ana akili sana sema cjui what went wrong kuna saa unaweza ukamfananisha na bongo movie kabisa.
 
She is very cute.

Wasallam wanajukwaa,
Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage mpaka dushe wajuzi tililikeni hapa.
 
Jokate kuna mahali ka bug step kiukweli sijui ni gundu atulie ajipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…