Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Mkurungu wa Ali k si mchezo naskia.[/😀QUOTE]
😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurungu wa Ali k si mchezo naskia.[/😀QUOTE]
😀
We unapenda kubwa au ndogo, ndefu au fupi, nene au nyembambaMkurungu wa Ali k si mchezo naskia.
Ulitaka na yeye apate babu kama K Lynn?!Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Elimu aina faida yoyote kwenye akili za mtu.Ila hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
kwanini usikie tu upo tena kwa bei rahisi ya mwananchi wa kawaidaMkurungu wa Ali k si mchezo naskia.
Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.Elimu aina faida yoyote kwenye akili za mtu.
Lipumba na kuwa professor ila mambo anayofanya hata mtoto wa form 4 anamtoa akili.
Wanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Watamuumiza tu mapenzi ya wasanii ni kutumiana na kutafta kiki, kiki zikipoa wanaachana .Hao wengine hawamtaki anapendwa na hao wa ajabu ajabu.
Mshobozi unachangiwa na mengi ikiwemo classy mkuu.Kwani shule ndio inapiga mshobozi?
Huyu dada nae ana behave kama hajasoma pale mlimani.Watamuumiza tu mapenzi ya wasanii ni kutumiana na kutafta kiki, kiki zikipoa wanaachana .
Muhimu hyo pia unaweza kuwa na money lakini bila elimu nayo ikawa kero kwa mambo uyatendayo pia, that's according to meokay kumbe shule nayo ina credibility sana eh nlikuwa nachukulia poa sana
Wasallam wanajukwaa,
Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage mpaka dushe wajuzi tililikeni hapa.
![]()
![]()
Hawa wa bongo fleva na wakata mauno stejiniina maana kiba kimwanaume cha ajabu mkuu?
Leo naona umeamua kweliHow do you define 'personal achievement' in someone's career?
Iwe kubwa ndogo ya punda Mimi napenda kufikishwa, kupendwa na kujaliwa ndo silaha kubwa za maangamizi kwangu.We unapenda kubwa au ndogo, ndefu au fupi, nene au nyembamba
Jokate kuna mahali ka bug step kiukweli sijui ni gundu atulie ajipangeTatizo la joketi sijui nn jaman,angekua mbali kweli kwenye ajira na kujitegemea(bado anaishi kwao si mbaya ila uwezo wa kujenga nyumba yake upo sana),kama ni elimu anayo ya kutosha,english(ya kuongea na jay z anayo)
Biashara alizonazo sidhan kama zinampa faida au ndio basi tu na yeye awe kwenye historia ya wafanya biashara.