Povu la Jokate

Wengi ni wafoji elimu pia mifumo yetu ilivo Watanzania walio nje wanafanya vzuri tu huku Bongo tuna siasa za kijinga jinga

Sana, ubora wa elimu ya bongo bado upo chini. Pia, kuongoza watu sio kitu ambacho kila mtu anaweza, kuna 'skills' za leadership
 
People who want to make headlines mostly move with people who make headlines. Let her accept the fate.
 
As long huyo mubabu atampenda na kumjali sioni shida wazee ka wale hawasumbui sasa hawa vijana ni kero tupu wanataka kusuuza rungu kila sehemu ukichangia na ustar plus kiki basi ni majanga
Sasa huyo mzee atamsuuza vzuri kama wanavyofanya vijana?!

babu wa watu asije kupata tabu ya kukimbizana na wajukuu mjini
 
kwani english ndo kusoma sana
 
diamond is one of the most achieved son of our countrry... hakuna hata ceo alimekalibia.. wewe je umeacshiteve nini?? digrii zinatudanganya sana hizi
CEO majizoo vipii mkuu
 
Mkuu unazungumzia dunia gani?!

Dunia hii hii ambayo wasio na elimu ni matajiri kuliko wenye Elimu!?

Hekima,Busara na ujuzi ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho na kukuzwa nacho...nitakushangaa ukisema Lipumba Ana Busara kuliko Dangote kisa Lipumba ni Profesa.
 
Si wote wamebahatika kupata hiyo elimu, hawa wametoka 'average Joe families' na elimu zao hizo hizo lkn wameachieve vitu vikubwa kwenye careers zao. What have you personally achieved kwenye career yako hata uite watu 'vilaza'.
Akikujibu alicho achieve via usomi wake kuliko hao artists utani tag mkuu.
 
Sorry hivi mashuhuri na maarufu ni tofauti?!!!
Ni tofauti mkuu japokuwa katika matumizi yetu ya kawaida huwa tunayatumia kama maneno yenye maana moja, maarufu ni mtu anaejulikana na watu wengi either mambo yasiyopendeza jamii au yanayopendeza jamii lakini mashuhuri kuna element ya kukubalika na watu wengi wa rika tofauti tofauti na aina tofauti tofauti ya watu. Otherwise nilikuelewa ila nilikuwa nachombeza tu mkuu
 
Ulitaka amdate Bashite? Kila mtu na chaguo lake. Mwingine amafikiria kudate na lodilofa mwingine anaona kipepe au madenge amamtosha. Maisha kuchagua
Bashite mbona alishatoka naye long time tu hyo sio new. Bora kipepe akupende kweli sio unatumia nguvu kumbe jamaa mpitaji tu
 
Sasa huyo mzee atamsuuza vzuri kama wanavyofanya vijana?!

babu wa watu asije kupata tabu ya kukimbizana na wajukuu mjini
Ndio ana msuuza ujue mapenzi ni zaidi ya Ku do sana kupita kiasi kuna vtu vingine vinafanya mwanamke atulie kabisa. Hasa upendo na care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…