Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hivi huyo seven ana issue gani hapa mjini.?Jokate ni mzuri lakini anadate vituko ila Seven anaclassy fulani hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyo seven ana issue gani hapa mjini.?Jokate ni mzuri lakini anadate vituko ila Seven anaclassy fulani hivi.
Sorry hivi mashuhuri na maarufu ni tofauti?!!!Upo sahihi mkuu ila rekebisha hapo mashuhuri weka maarufu mkuu
Wengi ni wafoji elimu pia mifumo yetu ilivo Watanzania walio nje wanafanya vzuri tu huku Bongo tuna siasa za kijinga jinga
Sasa huyo mzee atamsuuza vzuri kama wanavyofanya vijana?!As long huyo mubabu atampenda na kumjali sioni shida wazee ka wale hawasumbui sasa hawa vijana ni kero tupu wanataka kusuuza rungu kila sehemu ukichangia na ustar plus kiki basi ni majanga
Correcttttt...Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
kwani english ndo kusoma sanaTatizo la joketi sijui nn jaman,angekua mbali kweli kwenye ajira na kujitegemea(bado anaishi kwao si mbaya ila uwezo wa kujenga nyumba yake upo sana),kama ni elimu anayo ya kutosha,english(ya kuongea na jay z anayo)
Biashara alizonazo sidhan kama zinampa faida au ndio basi tu na yeye awe kwenye historia ya wafanya biashara.
CEO majizoo vipii mkuudiamond is one of the most achieved son of our countrry... hakuna hata ceo alimekalibia.. wewe je umeacshiteve nini?? digrii zinatudanganya sana hizi
Mkuu unazungumzia dunia gani?!Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.
Lipumba aliona 'mwanya' akautumia, pengine elimu yake ilimsaidia. Ndio maana ukiwa na hela halafu huna elimu, utafilisiwa na wenye elimu.
Akikujibu alicho achieve via usomi wake kuliko hao artists utani tag mkuu.Si wote wamebahatika kupata hiyo elimu, hawa wametoka 'average Joe families' na elimu zao hizo hizo lkn wameachieve vitu vikubwa kwenye careers zao. What have you personally achieved kwenye career yako hata uite watu 'vilaza'.
Ni tofauti mkuu japokuwa katika matumizi yetu ya kawaida huwa tunayatumia kama maneno yenye maana moja, maarufu ni mtu anaejulikana na watu wengi either mambo yasiyopendeza jamii au yanayopendeza jamii lakini mashuhuri kuna element ya kukubalika na watu wengi wa rika tofauti tofauti na aina tofauti tofauti ya watu. Otherwise nilikuelewa ila nilikuwa nachombeza tu mkuuSorry hivi mashuhuri na maarufu ni tofauti?!!!
Ulitaka amdate Bashite? Kila mtu na chaguo lake. Mwingine amafikiria kudate na lodilofa mwingine anaona kipepe au madenge amamtosha. Maisha kuchaguaJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
kwani english ndo kusoma sana
Bashite mbona alishatoka naye long time tu hyo sio new. Bora kipepe akupende kweli sio unatumia nguvu kumbe jamaa mpitaji tuUlitaka amdate Bashite? Kila mtu na chaguo lake. Mwingine amafikiria kudate na lodilofa mwingine anaona kipepe au madenge amamtosha. Maisha kuchagua
Shuleless yaani hata vidudu hawajapitia....? Hata kitaa kuna shule za upiliWanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Anamachaguo yake akili Mwake,Hvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Ndio ana msuuza ujue mapenzi ni zaidi ya Ku do sana kupita kiasi kuna vtu vingine vinafanya mwanamke atulie kabisa. Hasa upendo na careSasa huyo mzee atamsuuza vzuri kama wanavyofanya vijana?!
babu wa watu asije kupata tabu ya kukimbizana na wajukuu mjini
Si mwanamke anashawishiwa tu anaolewaAnamachaguo yake akili Mwake,
Na anaweza kuzeekea nyumbani.