na ashukuru kibuti alicho kula sijui angeimba nini
watarudiana tena ili watoe hit nyingineSi unajua mungu akitaka kupa a nakuletea sbb[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona huo u team unazungumziwa una base upande mmoja mbona rayvany na harmonize hawasapport upande wa pili na hali shwari tuAngepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
Ina maana kila ambaye hampi support domo ataporomoka acheni hizo wcb bwanaNdo hapo sasa atakapoanza kuporomoka....
baraka laana inamtafuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo mnamajungu!baraka laana inamtafuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kajikuta ungosha mwiiingiii
kisa na yeye ana demu mweupe[emoji23][emoji23]!!!
imeanza kumcost
Kumbeeee mwingine nani asie na nyota akakimbilia kwa kibaKiba ni kimbilio la wasanii wasio na nyota[emoji276] ....so lazma Nuh ampende...
Sana mpaka inakera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo mnamajungu!
Unaaanziaa 1 2 3 4 mpka mwisho ili nipate kikieheee utaanzaje kumsapoti asiekusapoti?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] omary faraja nyembo A.K.A Ommie Dimpoz. .Mwambieni kijana amuulize omary Nyembo,au Baraka cheusi dawa,nini maana ya Misifa.
Kwani yeye kuandika hivyo, wewe umepungukiwa na nini..?Kulikua hakuna umuhimu wa kutuonesha anam support flan na flan hamsupport.....
Kwani angevote kimya kimya nani angejua kama ye team kiba....