Povu la Nuh Mziwanda

Povu la Nuh Mziwanda

Angepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
Mbona huo u team unazungumziwa una base upande mmoja mbona rayvany na harmonize hawasapport upande wa pili na hali shwari tu
 
Angepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
baraka laana inamtafuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kajikuta ungosha mwiiingiii
kisa na yeye ana demu mweupe[emoji23][emoji23]!!!
imeanza kumcost
 
Huyu naye ndio kaharibu sasa, huwa wana piga kimya.
Lazma yamtokee puani hayo
 
baraka laana inamtafuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kajikuta ungosha mwiiingiii
kisa na yeye ana demu mweupe[emoji23][emoji23]!!!
imeanza kumcost
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo mnamajungu!
 
kuna watu wana akili za kitoto humu mpaka unashangaa!!

yaani kumsapoti kiba hadharani lazima upotee

ila ukimsapoti wa upand wa pili ni sawa na hutopotea

akili ndogo mpaka naogopa.
 
Mwambieni kijana amuulize omary Nyembo,au Baraka cheusi dawa,nini maana ya Misifa.
 
Hivi ni nn maana ya wadhifa? Ustar au underground ni wadhifa?
 
Hata kuandika hajui sasa sijui ataimba nini maisha haya, hawa wengine wasanii kiki tu.
 
Kulikua hakuna umuhimu wa kutuonesha anam support flan na flan hamsupport.....

Kwani angevote kimya kimya nani angejua kama ye team kiba....
Kwani yeye kuandika hivyo, wewe umepungukiwa na nini..?
 
Bush alishawahi kusema uwe upande wetu au upande wao usipokuwa Na upande wewe utakuwa mnafiki nuu karudishwa na kiba Na hata nyimbo anasema kiba ndio aliipa jina Na ndiyo inayompa ela mpaka sasa kuandika hivyo ni haki kabisa kumsapoti MTU aliyemsapoti tena kafanya vizuri kamsapoti kwa Uhuru wake kutoka moyoni siyo kinafiki kweli imemuweka huru
 
Eti wasanii wasio na majina yeye ana jina gani? Au umaarufu wa kupigwa makonzi
 
Back
Top Bottom