Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
FafanuaDiamond kafungiwa nyimbo zake yeye na timu nzima ya wcb pale clouds media....na ishu kubwa sababu anakuja na mikakati ya kusaidia muziki wa bongofleva....soon atakuja na mambo yake kwenye entertainment ndio utaelewa vizuri hii picha..
Mkuu tuache unafki..Naomba nirudie Comment yangu Diamond platnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibu endelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii.
Mkuu tuache unafki..
Diamond kashuka sana kimuziki,kwa sasa anatamba na skendo za insta za kula mademu wakali..
Hivi Diamond anatoa wimbo na Rick Ross alafu unabuma.??huyu sio Diaomond tuliyemzoea..
Tatizo linalomuangusha ni huyu Sallam kazidi sana uswahili hadi anakera,.
Kuna siku aliwahi kuropoka eti "Alipofikia Diamond kwa sasa hawezi tena kufanya shoo za ndani ya nchi"..
Umeona ushamba huo sasa.! Akina Wizkid hawafanyi shoo Nigeria kwani.??????
Dogo anajipalilia kaburi lake mwenyewe..
Infact kwa sasa mimi sitamuunga mkono msanii yeyote atakayepamba na Clouds media kwasbabu wakina Sugu walijitahidi sana na Jaydee alafu hawa wakina Diamond walikuwa upande wa Clouds leo hii wanajifanya ndiyo wanaelewa kwamba Sugu na Jide waliona mbali..
Au na yeye ni shehe kiaina?Mambo ya kikekike
Leta facts mkuu yeye anawapisha Wasanii wake katika soko la Muziki ila bado hajashuka pia Wizkid kufanya show kwao sio kosa maana wanaomiliki Radio na Tv Nigeria wanajitambua wanazipa Airtime sana nyimbo za wasanii wa kwao ila huku kwetu Majungu eti mpaka ukaitambulishe kwani Davido nyimbo zake anakuja kuzitambulisha au Skendo za akina Diamond platnumz wanapozirusha huwa wanapeleka wenyewe? Muda wao umefika kwishineeeiiii.Mkuu tuache unafki..
Diamond kashuka sana kimuziki,kwa sasa anatamba na skendo za insta za kula mademu wakali..
Hivi Diamond anatoa wimbo na Rick Ross alafu unabuma.??huyu sio Diaomond tuliyemzoea..
Tatizo linalomuangusha ni huyu Sallam kazidi sana uswahili hadi anakera,.
Kuna siku aliwahi kuropoka eti "Alipofikia Diamond kwa sasa hawezi tena kufanya shoo za ndani ya nchi"..
Umeona ushamba huo sasa.! Akina Wizkid hawafanyi shoo Nigeria kwani.??????
Dogo anajipalilia kaburi lake mwenyewe..
Infact kwa sasa mimi sitamuunga mkono msanii yeyote atakayepamba na Clouds media kwasbabu wakina Sugu walijitahidi sana na Jaydee alafu hawa wakina Diamond walikuwa upande wa Clouds leo hii wanajifanya ndiyo wanaelewa kwamba Sugu na Jide waliona mbali..
Mkataba unawafungaSasa mbona matangazo ya diamonds karanga yanapigwa kama kawa
Huyo sallam mnafiki sana yeye ndo wa kwanza kumuangusha diamond nani asiejua? Toka aanze kummanage mond kila mahali mond anakuwa na beef ni kwanini?
Diamond ana beef na global magazeti ya shigongo hayamuandiki kisa sallam.sasa clouds
Imefika wakati diamond aachane na sallam