Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina 😂 )
Nnaowaongelea hapa hata sio wapokea kodi wetu, ila ni wapenzi watazamaji tu ambao wapo interested na kujua wapi tunalaza vitambi vyetu, kuna vitu kabla haujaongea hebu jiulize mara mbili unaemwambia kitamgusa vipi, imagine unakutana na Mimi sasa nakuuliza mwanao anasoma shule gani unanijibu chaurembo secondary halafu nianze kukushangaa haaa unamsomeshaje huko mie siwezi asee wangu yupo st nanii huko hivo utajisikiaje?
Au mtu anakuuliza unafanya kazi gani, unawezaje kufanya hiyo kazi mie siwezi mxyuuuuuuuuuu
Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga. Cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee. Mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!
Povu povu tu.😏