Povu linaruhusiwa#

Povu linaruhusiwa#

mimi ela

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
162
Reaction score
92
Nikakaa nikawaza nkicheki uku chitchat nyuzi zingine haziishi,ka ile ya kukoment afu unapata likes. ,
Af Beira boy naye anarusha na mwenzie hr666..(af hr yule afisa mikopo walimtumbua af cha ajabu ile nyuzi yako sikuisoma ila za ajabu ajabu zooote nasoma)basi bana..afu kuna uyu DJ sepetu hhaahhha watu wana vituko.
Wengine wanaharibu nyuzi unakuta mtu analeta mambo ya viwanda uzi wa kumuusu mange apo ndo utafurahi na nafsi yako...naishia hapo
 
Back
Top Bottom