ni kweli kabisa..na bila dai mjue kiba atarudi kkoo kwa mamake.
dai ndio anampa challenge ya kufanya vizuri kiba.
ni kama vile ray kigosi...enzi za kanumba
now hana competitor ndo mana kaishia palepale tangu kanumba afe.
so dai ndo competitor wa kiba..
kubali kataa!
huo ndo ukweli
Watu wanashindwa kuelewa hiyo ni trick ya kumpa Kiki huyo Dada ili a hit kama ebitoke kwa sababu wote hawa wawili wanaigiza kipindi kimoja lakini huyu mama ashura hajulikani....