Povu zito kutoka kwa Mama Ashura wa timamu comedy adai Ally Kiba anatembelea nyota ya Diamond

Povu zito kutoka kwa Mama Ashura wa timamu comedy adai Ally Kiba anatembelea nyota ya Diamond

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
ce31d3aa47085cbe2c8929fd8b77120d.jpg

222ec6b033cd09939bc55211cac8f802.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa..na bila dai mjue kiba atarudi kkoo kwa mamake.
dai ndio anampa challenge ya kufanya vizuri kiba.
ni kama vile ray kigosi...enzi za kanumba
now hana competitor ndo mana kaishia palepale tangu kanumba afe.

so dai ndo competitor wa kiba..
kubali kataa!
huo ndo ukweli
 
Mama Ashura ameniwahi. Kuna jamaa mmoja humu jamvini sijui kafia wapi anaitwa KILIMBAMULA, aliwahi sema kuwa Kiba hana mashabiki wake.

Alisema wapo mashabiki wa Diamond na maadui wa Diamond ambao wamejificha kwa Kiba.

Nakubaliana nao wote, Kiba hana kitu mweupe sana.

C.c nifa na daudi, die hard fans
 
Watu wanashindwa kuelewa hiyo ni trick ya kumpa Kiki huyo Dada ili a hit kama ebitoke kwa sababu wote hawa wawili wanaigiza kipindi kimoja lakini huyu mama ashura hajulikani....

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
20393553_327460957693165_2754095663426830336_n.jpg
mtu na manager wake wanamchangia mama ashura yetu macho nilimuambia ukweli unauma jitulize mama ashura hutaki watu wa media pia mnafitna
 
Back
Top Bottom