Umeonaee mkuu yaani huyu Dada anajiona yuko level za juu kama alijiumba mwenyewe ana dharau sanakwa hiyo huyo tiffa yupo level za watu ambao wakifa wanapaa kama yesu ama? .....kama kweli ni wa daimond basi wote ni sawa na daimond ni free meat hajafunga ndoa na mtu yeyote aweza kuzaa naye...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anatafuta kuongelewa maana wabongo wamegoma kumpost sasa anatafuta kuongelewaMganda ana matatizo huyu hahaha ,sasa mwache hawajui wabongo watampelekesha mpaka akojoe ndani badala ya chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anajiona kama anatembelea angani vile ana dharau kinyama sasa huyo mtoto akishaonyeshwa c atazimiaana dharau kishezi. kuna mtu cheap kama yeye alokitembeza africa nzima hadi kaja kukitoa tandale huko
Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .
Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii
View attachment 561184
Hao udaku hata threads zangu nyingi nilikuwa nazikuta huko kwenye blog yao au IG.Mkuu unajuaje kama huyo Ndumi la kuwili yeye mwenyewe ndio amepost na kwenye hiyo blog? Wengi humu ni waandishi wanapost humu JF na ktk website au blogs zao, na wengine wanarusha fb na ktk magazeti wanayofanyia kazi.
Ndoa ya watu gani?Hata mimi nisingekubali such humiliation, mmmnh yaani watu wanajua ku strain ndoa za watu. Kha
Ndoa ya watu gani?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbee aisee bas hii ni ndoa ya kiwango cha lami,hamjui ukiishi miezi sita kama mume na mke,nyie ni wanandoa?
Aaaah okay,kumbe wamefunga ndoa!ya Diamond na Zari.
Aaaah okay,kumbe wamefunga ndoa!
Mimi nimeuliza tu!Sina taarifayaani wewe ni mpka u sign,zile karatasi eeh?
Mimi nimeuliza tu!Sina taarifa