Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

kwa hiyo huyo tiffa yupo level za watu ambao wakifa wanapaa kama yesu ama? .....kama kweli ni wa daimond basi wote ni sawa na daimond ni free meat hajafunga ndoa na mtu yeyote aweza kuzaa naye...
Umeonaee mkuu yaani huyu Dada anajiona yuko level za juu kama alijiumba mwenyewe ana dharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajuaje kama huyo Ndumi la kuwili yeye mwenyewe ndio amepost na kwenye hiyo blog? Wengi humu ni waandishi wanapost humu JF na ktk website au blogs zao, na wengine wanarusha fb na ktk magazeti wanayofanyia kazi.
Hao udaku hata threads zangu nyingi nilikuwa nazikuta huko kwenye blog yao au IG.


Pia na threads za warumi nyingi tu wamemuibia na mara kwa mara alikuwa akilalamika.
 
Back
Top Bottom