Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

Hata mimi nisingekubali such humiliation, mmmnh yaani watu wanajua ku strain ndoa za watu. Kha
Kwanza nashangaa sana huyo Hamisa ana jiangaisha sana kama ana pendwa kiasi hicho mpaka ana pewa mimba mbona awekwi hadharani na baba wa mtoto.... Nina hakika aliyempa mimba Hamisa si Diamond.....Hamisa ana tafuta kiki tuu
 
Zari ndio nani kwani , anaishi wapi na anafanya nini kwa kuishi, au anawadhifa gani kwa mfano, nimfahamu kwanza ndio niende kwenye mada
 
Kwanza nashangaa sana huyo Hamisa ana jiangaisha sana kama ana pendwa kiasi hicho mpaka ana pewa mimba mbona awekwi hadharani na baba wa mtoto.... Nina hakika aliyempa mimba Hamisa si Diamond.....Hamisa ana tafuta kiki tuu
Huwezi kuwa na uhakika mkuu..
 
leta nyuzi za habari ulizozisaka mwenyewe Sio kukopy insta na kupaste here
 
leta nyuzi za habari ulizozisaka mwenyewe Sio kukopy insta na kupaste here
 
Hahaa yaani huyu bibi bomba atakuja kufa kwa presha yaani hajuagi kumezea vitu sasa na mtoto akishawekwa hadharani c atajitia kitanzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Hamisa atafute baba wa mtoto. Nyie mtaota tu kuona Zari na Daimond wameeachana. Yaani yule Mange ni wivu kupita, mwambie azirushe hizo picha Kama anazo. Huyo Hamisa anahangaika tu mwanamke anaroho mbaya kutaka kuharibu familia ya mwanamke mwenzio. Huyo Mange yuko so thirsty.
 
Ukweli ka hamissa kanazaa vitoto vzur sana, mchukue tiffah mlinganishe na kale katoto ka hamisa alikozaa na majizo utaona utofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yangu Mhenga miye. Natamani Diamond atakapoamua kuoa aje aoe mwanamke ampendaye yeyote yule Ila asiwe Zari.
Nimewaza tu kwa sauti, team Zari msinipopoe kwa msg.
 
Hakuna povu hapo mleta mada acha usengerema wako wa kolomije
 
Huy zari nae aache dharau, huyu aliachwa na Ivan akakosa wa kumtia akaanza kujitia na matoi sasa baada ya kumpata Dai ndio anajishebeua K yenyewe ameshaichezea na miplastic huo uspecial unatoka wapi?
 
Mbona zari kajibu vizuri tu .. hataki mtoto wake atagiwe basi muacheni zari hata me ukimuhusisha mwanangu na mambo ambayo siyo productive nakubarasa vizuri tu .. ukinichukia nichukie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…