Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwanza nashangaa sana huyo Hamisa ana jiangaisha sana kama ana pendwa kiasi hicho mpaka ana pewa mimba mbona awekwi hadharani na baba wa mtoto.... Nina hakika aliyempa mimba Hamisa si Diamond.....Hamisa ana tafuta kiki tuuHata mimi nisingekubali such humiliation, mmmnh yaani watu wanajua ku strain ndoa za watu. Kha