Powder maalum kwa ajili ya kutibu fangasi (anti-fungal powder)

Powder maalum kwa ajili ya kutibu fangasi (anti-fungal powder)

miikky

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
31
Reaction score
0
Salam wanaJF!

Jamani naombeni mnisaidie majina ya hizo poda fungus wa sehemu za siri.

Asanteni.
 
sehemu za siri ukimaanisha pale penyewe kabisa au karibu na maeneo hayo?
 
zipo powder lakin ni adimu na hazisaiidii

mfano kuna daktarin powder for candida

km unafangasi tumia cream zaid ila usivae chupi za plastic,jeans nk vaa cotton na uache nafasi ya hewa.

tumia natural therapy. kunywa alovera, Nazi, vitunguu saumu pia pakaa vitunguu saumu. believe m it will help
 
Tafadhali fafanua jinsi ya kutumia nazi ktk hii ishu ya fangasi.

zipo powder lakin ni adimu na hazisaiidii

mfano kuna daktarin powder for candida

km unafangasi tumia cream zaid ila usivae chupi za plastic,jeans nk vaa cotton na uache nafasi ya hewa.

tumia natural therapy. kunywa alovera, Nazi, vitunguu saumu pia pakaa vitunguu saumu. believe m it will help
 
Tumia Mycota Cream au powder. Hutasikia hiyo kitu tena. Kitunguu saumu paka mara kwa mara haswa ukienda kulala kwa kuogopa harufu. Ukitumia cream ka ni ke usivae chupi. Pia just get rid of hizo chupi za kwanza. Nunua mpya unapoanza kuvaa tena
 
Back
Top Bottom