INAUZWA Power bank for sale

Kama ni 15,000mAh inamaana simu yangu yenye 3000mah inachaji 5times , je kwa simu yako unachaji Mara ngap
 
Kimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeo
Kuna power bank moja nlinunua muda kidogo inaitwa PINENG (imekuja forged inaitwa PISEN) MAh 20,000 kwa elfu 90...hii kitu ukipata genuine hutajuta.
 
Uk
Kimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeo
uko sahihi mkuu hyo ni original fake...power bank ya mAh 15000 haiwez uzwa bei hyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…